Hidden cancer cures


Ha ha haa,mkuu umeshategua mtego tayari,hongera kwa kutoka tunduni.Halafu walisema eti mafuta ya ubuyu yanasababisha cancer.Kuna mtaalam mmoja kutoka Ocean Road Cancer Institute alisema kwamba mafuta ya ubuyu hayasababishi cancer kama ilivyodaiwa na wanaosema hivyo,sasa kama huyu mtaalam wa cancer anasema hivyo,je, tumwamini nani?Ninalo gazeti moja hapa limeandika hivyo.

Wanasema kinyume na mambo yalivyo.Mafuta ya ubuyu yana uwezo wa kuondoa sumu mwilini,wao wanasema mafuta ya ubuyu yanasababisha sumu,unaona hapo?Pia walisema ulaji wa mihogo mibichi ni hatari kwa kuwa ina sumu.Yaani hawa jamaa huwa wana uelewa mdogo sana wa mambo.Hawajui kwamba mihogo mibichi ina Cynide ambayo iko locked kwenye compound inayoitwa amygdalin ambayo ikiingia kwenye cancer cell inaua cancer cell,kiwango kimetofautiana kati ya aina za mohogo,mihogo mingi tunayokula ina kiwango cha kawaida,hivyo ulaji wa mihogo mibichi ni kinga tosha dhidi ya cancer.Halafu wao wamekurupuka sijui wameambiwa na nani huko, wanawaambia watu waache kula mihogo mibichi,yaani uvivu wa kufuatilia mambo ni mbaya sana,unaweza kuua bila kukusudia hivihivi.
 
Last edited by a moderator:
https://www.youtube.com/watch?v=NAMYAoiCSsI
huu ndio ukweli usiopingika kuhusu mambo yanavyojiri katika ulimwengu wa matibabu

Ha ha haaa,mkuu hiyo link ndio ile video hapo juu kwenye uzi.Yaani wewe unaonekana umesoma sana na vitu vimejaa mpaka vinamwagika,safi sana hiyo mkuu.Kama wote wangekuwa kama wewe nadhani nchini kwetu maandamano ya kudai haki zetu za kiafya kuhusu magonjwa haya yasingeisha,pia tungeanzisha maandamano ya kudai bangi ihalalishwe ili tujitibu wenyewe.Knowledge is power.Keep it up.
 
Mkuu deception parachichi lina mechanism gani inayoondoa sumu mwilini? Na mbegu yake inaliwaje?Tangawizi as well unaitafuna au ata kwenye chai ni sawa.
 

Ndo maana kwenye baadhi ya vipodozi wanaandika vna vitamin B17 ooohhhoo sasa nimejua kitu, thank you
 

Je kansa iliyokua inatibiwa na madawa ya hospital/ kwa njia za kihosptali hutibika kabisa?
 

Hana mfano wakukupa coz hana evidence unajisumbua .Na nikikupa like haimaanishi nakubaliana na yeye bali nimekubali hoja yako wewe nadhani umenisoma!
 

Hivi Hata Babu wa Loliondo Alifuata Taratibu .. Maana Mpaka Leo Watu wanaenda Loliondo
 
Hivi Hata Babu wa Loliondo Alifuata Taratibu .. Maana Mpaka Leo Watu wanaenda Loliondo

Kama na yeye ndio babu wa loliondo style au tuseme babu wa loliondo advanced au babu wa loliondo wa kizazi kipya sawa . Aweke wazi
 
Mkuu Deception, hiyo vitamin b17,inaweza pia ikaondoa uvimbe kwa mwanamke? Yaani fibroids?
 
Kama na yeye ndio babu wa loliondo style au tuseme babu wa loliondo advanced au babu wa loliondo wa kizazi kipya sawa . Aweke wazi

Umelielewa Swali Langu?.. Jamaa Ako hapo Juu amesema Kuna Utaratibu za Kufuata ili Tiba Ikubaliwe.. Sasa Nimeuliza Hivi Kwani Babu wa Loliondo Alifuata Taratibu mbona Mpka Leo Watu Wanaenda..
 

Mimi nakubaliana Na Wewe.. Ni Bora Deception Akaendelea Na Mada Akamaliza Halafu Hao Madaktari wakaja Kuchambua Tuone .. Maaana Unakuta Hata Hatujafikkia Conclusion ya Dawa Ila Mtu Ameshaingiza Vurugu ndani... Kwahiyo Bora Deception amalize Kabisa Atakayechukua Haya Asiyechukua Haya Pia
 
Last edited by a moderator:
kutibu cancer siyo rahisi namna hiyo. hivyo vyakula "vinasadikika" kuzuia na si kutibu. huwezi ukaua seli za kansa bila kuathiri zingine. ninachoona hapa ni watu wakiwa kwenye foleni ya kwenda loliondo. kungekuwa na tiba wakina steve jobs isingewaua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…