Hidden cancer cures

Hidden cancer cures

The Dr. Philip Binzel list of foods that contain laetrile include: apricot kernels, peach kernels, grape seeds, blackberries, blueberries, strawberries, bean sprouts, lima beans and macadamia nuts (to name but a few).

The FDA claims that laetrile is toxic. This is an absolute lie. Read the first chapter of-Alive and Wellto see how absurd the FDA claim is. It is only toxic to cancer cells.

If you obtain laetrilepills,it is important to take them with natural water during a meal (i.e. with food).



Read Morehttp://www.cancertutor.com/laetrile/

Kumbe Mamlaka ya Chakula na Dawa Marekani inasema iyo Vitamin B17 ni sumu:what:

Na ni illegal, sasa nimejua kwanini hata Tanzania Mbegu za Ubuyu na Mafuta yalipigwa Marufuku eti ni Sumu😕

Fumbo mfumbie Mjinga, watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

Ha ha haa,mkuu umeshategua mtego tayari,hongera kwa kutoka tunduni.Halafu walisema eti mafuta ya ubuyu yanasababisha cancer.Kuna mtaalam mmoja kutoka Ocean Road Cancer Institute alisema kwamba mafuta ya ubuyu hayasababishi cancer kama ilivyodaiwa na wanaosema hivyo,sasa kama huyu mtaalam wa cancer anasema hivyo,je, tumwamini nani?Ninalo gazeti moja hapa limeandika hivyo.

Wanasema kinyume na mambo yalivyo.Mafuta ya ubuyu yana uwezo wa kuondoa sumu mwilini,wao wanasema mafuta ya ubuyu yanasababisha sumu,unaona hapo?Pia walisema ulaji wa mihogo mibichi ni hatari kwa kuwa ina sumu.Yaani hawa jamaa huwa wana uelewa mdogo sana wa mambo.Hawajui kwamba mihogo mibichi ina Cynide ambayo iko locked kwenye compound inayoitwa amygdalin ambayo ikiingia kwenye cancer cell inaua cancer cell,kiwango kimetofautiana kati ya aina za mohogo,mihogo mingi tunayokula ina kiwango cha kawaida,hivyo ulaji wa mihogo mibichi ni kinga tosha dhidi ya cancer.Halafu wao wamekurupuka sijui wameambiwa na nani huko, wanawaambia watu waache kula mihogo mibichi,yaani uvivu wa kufuatilia mambo ni mbaya sana,unaweza kuua bila kukusudia hivihivi.
 
Last edited by a moderator:
https://www.youtube.com/watch?v=NAMYAoiCSsI
huu ndio ukweli usiopingika kuhusu mambo yanavyojiri katika ulimwengu wa matibabu

Ha ha haaa,mkuu hiyo link ndio ile video hapo juu kwenye uzi.Yaani wewe unaonekana umesoma sana na vitu vimejaa mpaka vinamwagika,safi sana hiyo mkuu.Kama wote wangekuwa kama wewe nadhani nchini kwetu maandamano ya kudai haki zetu za kiafya kuhusu magonjwa haya yasingeisha,pia tungeanzisha maandamano ya kudai bangi ihalalishwe ili tujitibu wenyewe.Knowledge is power.Keep it up.
 
Mkuu deception parachichi lina mechanism gani inayoondoa sumu mwilini? Na mbegu yake inaliwaje?Tangawizi as well unaitafuna au ata kwenye chai ni sawa.
 
Bado hujanipa maelezo ya kutosha huyo binti alitibiwa hospitali gani na alipewa dawa gani.

Kwa maelezo yako inaonekana huyo binti atakuwa na ugonjwa uitwao vitiligo,ugonjwa huu mara nyingi unasababishwa na kinga ya mwili kushambulia mwili wenyewe maeneo mbalimbali kama vile tishu nk,kwa huyu biti yeye ngozi yake ndiyo hushambuliwa.

Sababu kubwa ya ugonjwa huu ndio hiyo niliyoeleza hapo juu au kwa kifupi tunaita 'autoimmune'.Magonjwa aina hii ndio ambayo hospitali huwa hawawezi kuyatibu zaidi ya kuondoa dalili.Kutokana na sayansi ya ugonjwa huu ulivyo,hata tiba hii ya cancer niliyoeleza,yaani vitamin B17 na mtiririko wake unaweza kumtibu vizuri kabisa huyo binti.Ukimpima huyo binti pH ya damu yake,lazima atakuwa acidic zaidi,ukitaka kuamini we nenda kajaribu uone.

Nikupe faida nyingine ya vitamin B17.Bila kujali kama una cancer au la,vitamin B17 pia huweza kutumiwa kama cosmetic ya asili hasa kwa wanawake.Vitamin B17 inapotumiwa,ukiachilia mbali kukulinda dhidi ya magonjwa sugu kama cancer pia inaweka ngozi katika hali ya ubora.Na kama wanawake watagundua siri hii basi hawawezi tena kuhangaika na vipodozi vyenye kemikali chafu.Vitamin B17 ina tabia ya kuondoa mabaka,rangi nyeusi za makovu ya vidonda au vipele kwenye ngozi,mikunjo ya ngozi na kuiweka ngozi katika muonekano mzuri kama mtu atakuwa na tabia ya kuitumia mara kwa mara.Yaani vitamin B17 hutambua vitu ambavyo si vya kawaida juu ya ngozi na kuviondoa.

Ndo maana kwenye baadhi ya vipodozi wanaandika vna vitamin B17 ooohhhoo sasa nimejua kitu, thank you
 
Mkuu huyu jamaa anaongelea 'cure' for cancer sio prevention, mtu ukiishi healthy siku zote unakula vizuri na unafanya mazoezi utaishi vizuri na vitu kama cancer au magonjwa mengi hutogusa...

Sema tukija kwenye swala la cure, mtu ambaye cancer ishakua, kusema kuna njia za asili kutibu ni kudanganya watu tu ambao wana uhitaji mwisho wa siku wanapoteza muda kua na false hopes na vitu ambavyo havifanyi kazi au mbaya zaidi kupoteza maisha..

Watu walio kwenye matatizo hua wako desperate sana, wako easily deceivable, nadhani unakumbuka babu wa lolliondo kama mfano mzuri, sasa mtu akiwa na cancer anaweza akaona hii kitu akaachana na njia sahihi akaenda kula mihogo sijui madude gani mwisho wa siku tatizo likazidi

Je kansa iliyokua inatibiwa na madawa ya hospital/ kwa njia za kihosptali hutibika kabisa?
 
Hahahahahaha haya mkubwa....ila kwenye ile thread ya ukimwi nilikuwa pamoja na wewe asilimia zaidi ya 90 na nadhani nilikupa like kipindi kile....sibishi alimradi kubisha tu. HIV ina tatizo kuanzia mwanzo hata hakuna reliable diagnostic test...so hilo tuliache

Nimekuomba mfano maana nataka kujifunza tu ila kama unaona haina maana poa tu !

Hana mfano wakukupa coz hana evidence unajisumbua .Na nikikupa like haimaanishi nakubaliana na yeye bali nimekubali hoja yako wewe nadhani umenisoma!
 
Sio kweli unalolizungumza...huwezi tu kuibuka na kusema nina tiba ya ugonjwa fulani na tukubali tu, kuna taratibu za kufuata maana hata placebo hutibu wakati fulani na hizo taratibu zinafuatwa na kila mtu hadi sisi. Taratibu hizo zina faida nyingi sana...ndio zimetengeneza dawa zote hizi unazoziona....

Hivi Hata Babu wa Loliondo Alifuata Taratibu .. Maana Mpaka Leo Watu wanaenda Loliondo
 
Hivi Hata Babu wa Loliondo Alifuata Taratibu .. Maana Mpaka Leo Watu wanaenda Loliondo

Kama na yeye ndio babu wa loliondo style au tuseme babu wa loliondo advanced au babu wa loliondo wa kizazi kipya sawa . Aweke wazi
 
Mkuu Deception, hiyo vitamin b17,inaweza pia ikaondoa uvimbe kwa mwanamke? Yaani fibroids?
 
Kama na yeye ndio babu wa loliondo style au tuseme babu wa loliondo advanced au babu wa loliondo wa kizazi kipya sawa . Aweke wazi

Umelielewa Swali Langu?.. Jamaa Ako hapo Juu amesema Kuna Utaratibu za Kufuata ili Tiba Ikubaliwe.. Sasa Nimeuliza Hivi Kwani Babu wa Loliondo Alifuata Taratibu mbona Mpka Leo Watu Wanaenda..
 
mada ilikuwa inaenda vzr yani kaibuka mtu mmoja tu kuvuruga basi mada nzima imesimama yameanza malumbano.minashauri Deception usijibu lolote kutoka kwa hao wanaopinga coz hii mada si kwajili yao,we shughulika na wanaotaka kujifunza kutoka kwako,hao wengine wanyamazie tu hata watume comment gani we chuna tu mana watu tumejifunza vzr tuu kuanzia page 1 had 3 but alipoibuka tu mtu wa kujifanya anapinga basi mada imehama na kuwa malumbano watu wameacha hata kuuliza maswali kwa mfano hizo mbegu za apricot na peach zinaliwaje na inavyoonekana ni ngumu kuzitafuna.cjui kama wenzangu mmeishiwa maswali ila mi naona maswali yapo mengi lakini tumefocus kubishana na watu wasiotusaidia ktk haya.

Mimi nakubaliana Na Wewe.. Ni Bora Deception Akaendelea Na Mada Akamaliza Halafu Hao Madaktari wakaja Kuchambua Tuone .. Maaana Unakuta Hata Hatujafikkia Conclusion ya Dawa Ila Mtu Ameshaingiza Vurugu ndani... Kwahiyo Bora Deception amalize Kabisa Atakayechukua Haya Asiyechukua Haya Pia
 
Last edited by a moderator:
kutibu cancer siyo rahisi namna hiyo. hivyo vyakula "vinasadikika" kuzuia na si kutibu. huwezi ukaua seli za kansa bila kuathiri zingine. ninachoona hapa ni watu wakiwa kwenye foleni ya kwenda loliondo. kungekuwa na tiba wakina steve jobs isingewaua.
 
Back
Top Bottom