So dawa ya kisukari ni???
Kwanza kabisa,unaweza kujiuliza hivi:
1.Kisukari sio infectious,yaani hakisababishwi na vijidudu.Hivyo basi lazima kitakuwa kimesababishwa na mabadiliko kwenye mwili wa mtu.
2.Hapo mwanzo mtu hakuwa na kisukari,lakini baadaye mtu anapata kisukari.Kwa kuwa kisukari sio infectious,hivyo lazima huyo mtu mwili wake utakuwa na mapungufu fulani.Sasa ili kujua dawa yake,lazima uyajue hayo mapungufu kwanza.
3.Unapogundua kwamba mtu ana kisukari inabidi ujue kwamba hakupata tatizo hilo siku chache zilizopita,bali mabadiliko ya mwili wake yalifanyika kwa muda mrefu sana yaweza kufikia hata miaka 10 iliyopita.
4.Kutokana na muda ambao kisukari kinajijenga mwilini,vivyohivyo tiba yake itachukua muda mrefu kwa kuwa kinachofanywa na tiba hii ni kurudisha mwili ukae kwenye hali yake ya kawaida ambayo imeharibiwa kwa muda mrefu sana.Hivyo tiba hizi huweza kuchukua kuanzia miezi 2 au 3 na kuendelea kutegemea na aina ya kisukari na muda ambao kimejijenga mwilini.
Ili upone kisukari ni lazima ufanye
total body cleanse and rejuvenation.Utaratibu huu unafanikiwa kwa kubadili style ya maisha hasa katika masuala ya vyakula(vilaji na vinywaji).Ukijua sayansi ya kisukari ndio utajua tiba yake,hivyo kutokana na sayansi yake kisukari huweza kutibika kwa vyakula tu,yaweza kuwa vyakula vya kawaida au supplements.Vyakula hivi vina kazi ya kuondoa sumu mwilini,kupunguza lehemu mbaya,kusafisha mfumo wa chakula,kurudisha madini yaliyopotea mwilini na kuweka damu katika pH sawia ya alkaline ambayo ni 7.365.Utaratibu huu ni sayansi iliyothibitishwa kabisa na si tiba za kikombe cha babu kama wengi wanavyodhani.Nilipanga kuanzisha uzi maalum wa kisukari kuelezea haya,lakini si mbaya pia nikaeleza sasa kwa kuwa umeniuliza.
Kuna kisukari type I na type II.Type I ni IDDM(insulin dependent diabetes mellitus) na type II ni NIDDM(non insulin dependent diabetes mellitus).
IDDM huwa inasababishwa na autoimmune condition ndani ya mwili ambapo kinga ya mwili inaua insulin producing beta cells kwenye islet ya pancreas/kongosho.Wakati type II mara nyingi inasababishwa na mwili kushindwa kuitikia insulin kutokana na uchafu uliopo mwilini kama vile lehemu nk.
Huwezi kupata autoimmune disease kama pH ya damu yako iko sawa yaani 7.365.Hivyo kama huwezi kupata autoimmune pia huwezi kupata IDDM.Huwezi kupata NIDDM kama mwili wako ni msafi(nazungumzia usafi wa ndani ya mwili) yaani hauna sumu,hauna lehemu mbaya,una madini yote muhimu na mfumo wa chakula ni msafi.Asilimia zaidi ya 95 ya magonjwa yote sugu huanzia kwenye utumbo,kisukari,cancer,AIDS(not HIV/AIDS) nk yana sayansi zinazorandana.
Nikipata muda wa kutosha nitawapa mtiririko mzuri wa kujitibu kisukari kutokana na sayansi tajwa hapo juu.Njia hii si uchawi bali ni sayansi iliyothibitishwa ambayo hutaambiwa na mainstream doctors.Najua kuna watu watakimbilia kupinga.Nitaweka tiba hii kwa kuwa najua kuna watu wanaihitaji ambao wameshagaragazwa sana na kisukari,mtu akipinga aendelee kupinga siwezi kumzuia.Nitatoa mwongozo huu bure kwa wale wahitaji ili wajitibu wenyewe na ndugu zao,lakini inabidi wajue kwamba huwezi kupona kwa siku 1 au 2,hii ni total body cleanse na rejuvenation,hivyo inahitaji muda kidogo kama nilivyosema hapo juu.Najua kwa watu ambao sio waelewa wanaweza kutumia labda wiki 1 na wakiona hamna mabadiliko wanaacha,ninatoa tahadhari mapema ili watu wajue kwamba ugonjwa wenyewe hujijenga hata kwa miaka 10 hivyo kuuondoa inahitajika nidhamu ya hali ya juu kwa kipindi kisichopungua miezi 2 au 3.Na hizi ndizo sababu zinazowafanya watu waone kwamba kisukari hakina tiba,watu wanategemea kupona ghafla,kisukari hakiko hivyo.Ukiwa na nidhamu kwenye utaratibu huu,ninakuhakikishia kwamba baada ya miezi 2 au 3 utaanza kuona tofauti kubwa,hamna kubahatisha hapa.