Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kansa duniani haina tiba. Kama yeye ana tiba basi aitangazie dunia na sio jf
Umegundua dawa ya ukimwi na kansa. Fine and good. Itisha mkutano mkubwa kama lowasa tangaza. Na sio umekaa nyuma ya key board. Na just id tu unatangazia watu waliokata tamaa . Kisa una degree moja ya sayansi . Na masters nje ya tanzania. Ukiulizwa au kukosolewa baadala ya kujibu unakuwa mkali na kuonyesha tafiti za watu.
Deception mimi niko interested na cannibas oil. Sijui inapatikanaje sasa?
Najua kutengeneza medicinal oils na baby oils.
Ambayo nachukua any vegetable oil nachanganya na herb yoyote mfano lemon grass halafu naweka kwenye sufuria dogo. Jikoni nabandika maji kwenye sufuria kubwa halafu lile sufuria lenye oil na herb naweka ndani ili ichemshwe na joto la maji (not more than 100 degrees Celsius). Sasa na kwa cannibas sativa nafanya hivyo hivyo?...
...By the way bungeni weshapitisha hiyo cannibas kutumika kama dawa?
Hio video ya Simpson imegoma kufunguka huko u tube, ati haipo???

kati ya watu ambao sijawaelewa bado ni huyu deception. sijajua lengo kake ni lipi
Yametaka kufanana na peach au bado sijayaelewaNa Kaning'ombe pia zinapatikana...dah kumbe dawa hizi zipo kwa wingi Tanzania...
Nimefurahi sana kujua kuwa mapichesi ni sawa sasa nitakapoenda ukweni iringa ndo yatakuwa chakula changu, daah hata wanangu nitawaambia. God bless you..God bless you all.. God bless me.
watu ambao hawajaelimika, sanasana waafrika wanakufa kwa speed sana sababu ya vitu kama hivi, ulichoandika hapo juu hakina ukweli wowote! kusema pharmaceutical industries zinafaidika sana ndo sababu wanaziba ukweli kuhusu treatments ni uongo mtupu.
Mkuu unajua kweli hata process ya cancer ilivyo? tatizo moja la mtanzania akiambiwa tu kua achana na hizo dawa za wazungu zina madhara, tumia hii ya asili anarukia fasta, tena kudanganywa zaidi anaambiwa watu wengi wametumia wakapona, anakomaa nayo mwisho wa siku anakufa..
Kama una cancer, pitia tu hizo options ambazo ni bei kubwa, huna option nyingine hadi pale cure itakapopatikana, yaweza kua kesho, ama kesho kutwa ila itabidi usubiri tu. Njia nyingine zote endelea kupoteza muda mwisho wa siku uifanye iwe worse tukuage, cancer kwenye first stages inatibika kirahisi tu, ila mnavoendekeza njia za asili inakua inafika stage inakua haiwezi kua controlled tena..
Ningekua admin wa jf post kama hizi ningefuta sababu ni za uongo mtupu, zitaua watanzania maana wao ni mstari wa mbele kuamini kila wanachosoma kwenye internet
Mkuu wew una amini kila kitu anachosema mzungu? Mswahili mwenzako haupo teyari ata kumsikiliza?

Yametaka kufanana na peach au bado sijayaelewa