Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

Waziri Mchengerwa alipokuwa Waziri wa Utumishi na Utawala bora alitengeneza utaratibu haramu wa kuwatengea 21% ya ajira katika taasisi za muungano ndugu zake Wazanzibari.
huu uongo mwingine wa 21% hebu muwe na jicho la pili la kufanya analysis. Hebu piga hesabu ya idadi ya wafanyakazi 21% ya wanaoajiriwa, halafu upige na hesabu ya wazanzibari wanaotoka vyuo ulete mrejesho hapa kama vinawiana.
 
Mkuu Ngongo heshima kwako

Kigosi Moyowosi Miombo forest

Hata mimi nimeshaanga sana TFS kupewa hilo pori lenye wanyama wengi nilitegemea wapewe Tanapa

Nikweli Kijiolojia huo Ukanda una Miamba Mama iliyo sheheni dhahabu Bukoban rocks WESTERN Corridor

Wanafikiri hii nchi wote VIPOFU

Mwarabu na Conservation wapi na wapi aibu kwa TFS
 
mbona unajichanganya kijana? kwanza unasema hakuna hata senti moja ya kuwekeza, baadae unasema unawekeza wataalamu wa kupima viuono vya miti (hawahitaji mafunzo wala malipo?), tena unatafuta verification experts (bila ya gharama yo yote?), peleka tani zako za carbon sokoni (bila ya kuwa na contact person ambae unamlipa?).

usirahisishe mambo kwa hasira na chuki zako.
 
huu uongo mwingine wa 21% hebu muwe na jicho la pili la kufanya analysis. Hebu piga hesabu ya idadi ya wafanyakazi 21% ya wanaoajiriwa, halafu upige na hesabu ya wazanzibari wanaotoka vyuo ulete mrejesho hapa kama vinawiana.


https://www.facebook.com/
View: https://m.facebook.com/wamagina/videos/ajira-za-muungano-tanganyika-71-na-zabar-21/2180659005425209/Soma hiyoooo.
 
Mkuu bitimkongwe msikilize Waziri Mchengerwa post number 49 kuhusiana na ajira 21% kwaajili ya Wazanzibar,halafu msikilize yule Mkongwe wa siasa za Tanzania Mhe Wasira akibwabwa kwamba hakuna Mtanganyiaka wala Mzanzibar utabaki kushangaa na kusikitika.
 
Sasa tumewatoa kafara Wanyamapori na uoto wa asili kwa sababu tu ya dhahabu ya miaka kadhaa?

Kwa hivyo vizazi vijavyo vitakuta nini?
 
Kwanza Magufuli ndiye aliyeipa hadhi ya kuwa National Park. Kama demokrasia inafanya yote haya haina budi kuminywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…