Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

Hivi mwanaume unanyimwaje gegedo kwa mke wako labda awe na sababu nzito,yani mahari yake walikula 3m bado gharama kibao.
Ujinga huo kwangu haupo nakupiga talaka yako fasta navuta goma jipya huwa sina roho ya kuvumilia nyege
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] siasa za majitaka hazikubaliki. Unachepuka bwana umesahau juzi ile mchepuko wako alipiga simu wakati uko kuoga
Hahahah yule alikuwa mjumbe wa kamati kuu mama. Kuna mchongo wa kumpigia kampeni babu Tale. Ila wadhamini wako Dodoma hivyo alitaka tukutane pale hotelini akanipe muongozo 🀣🀣🀣
 
Hahahah yule alikuwa mjumbe wa kamati kuu mama. Kuna mchongo wa kumpigia kampeni babu Tale. Ila wadhamini wako Dodoma hivyo alitaka tukutane pale hotelini akanipe muongozo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787] hizi ndio siasa za majitaka sasa nilizosema sizitaki
 
[emoji1787][emoji1787] hizi ndio siasa za majitaka sasa nilizosema sizitaki
Hahahahahah hamna yani hii ni kweli kabisa kutoka katika vijito vya huba ndani ya mtima laazizi wangu😍😍😍
 
Mume wangu alininyima unyumba mwaka 2017 kisa alikua na pesa nyingi za kustaafu,Siku anani kumbuka na mimi nimesha msahau,mpaka leo ananishutum kua nilihama chumba,wakati mii nilivyo ona sipewi papuchi nilisogea nilikubali tuu matokeo
Mume wako kakunyima papuchi? [emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Maisha hayaa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…