Hii ajali ya same iliyouwa watu 50 mbona sijaiona jamiiforums?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
 
tuache tuko bize na kuchukua fomu na kumsifia mama vifo ni vifo tu
 
Imeripotiwa sana labda hukuingiaa
 
Back
Top Bottom