Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na mtalo nihuohuo, na barabara ya kutokea mnazi mmoja kwenda Rami, serikali inaingiza kipato kupitia barabara hii na hasa ni kwa sekta ya madini, lakini barabara walishaitelekeza , naomba mlitazame hili swala.