mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Si siri tena wala siyo madai ya urusi tena, bali ndivyo biashara yenyewe ilivyo. NATO ina malengo yake ya kuidhoofisha urusi, ukraine ikajitokeza na kusema sisi tutatimiza jukumu hilo, tunachohitaji ni kutupatia silaha kwa ajili ya damu ya raia wa ukraine wanayoimwaga ili kufikia malengo ya NATO. Hayo yamesemwa na waziri wa ulinzi wa Ukraine. Kura ina thamani sana, ni lazima kuitumia kwa uangalifu!! Hii serikali ya Ukraine iliwekwa na wa-ukraine wenyewe na leo hii wanauza damu ya wa-ukraine ili wapate silaha za kutimizia matakwa ya NATO!!!
File photo: Ukrainian Defense Minister Alexey Reznikov © AP Photo/Efrem Lukatsky
Kiev is shedding blood to carry out the mission NATO set for itself and expects the “civilized West” to provide weapons and ammunition in return, Ukrainian Defense Minister Aleksey Reznikov has said in an interview for a domestic TV channel.
Hii biashara kwa akili ya viongozi wa ukraine INALIPA!! uza damu upate silaha!! Mwisho wa siku malengo ya NATO yafikiwe!! Halafu ujue hizo silaha siyo bure, mwisho wa siku watazilipia maana ni mkopo wa muda mrefu wenye riba!! Faida yao ni kuona tu kuwa malengo ya NATO yamefikiwa!! Mbaya zaidi ni kwamba, hayo malengo ya NATO yamegonga mwamba, na sehemu ya Ukraine imechukuliwa kuwa ni sehemu ya Urusi!!
Ukraine on ‘NATO mission’ – defense minister
Aleksey Reznikov has argued that Kiev is shedding blood for the military bloc and expects weapons in return