Hii biashara imekaaje: Ukraine kuuza damu ya raia wake ili kupata silaha zitakazosaidia kufikia malengo ya NATO dhidi ya Urusi!

Bila utu wangekuwa wameishafumua mahandaki hayo na ngome na kusagia humo hao neo Nazi. Lakini, kwa misingi ya utu Russia ni nadra sana kufanya hivyo.
Umesahau walichofanya kule 'Bucha' ?

AP News
apnews.com
How Russian soldiers ran a 'cleansing' operation in Bucha
 
Ukraine inapigania uhuru wake
Ukraine kwa kuingizwa mkenge imejikuta ikipoteza uhuru wake na kupoteza sehemu kubwa ya ardhi yake!! Mbaya zaidi imefanywa sehemu ya kuuzia silaha za magharibi kwa mkopo wa muda mrefu wenye riba!! Hebu fikiria deni la dola bilioni 100 na riba yake atalilipa kwa miaka mingapi?
Marekani ilikuwa inakopesha silaha nchi zilizokuwa zinapigana na Ujerumani kwenye vita kuu ya pili. Urusi ilifanikiwa kumaliza deni lake hilo miakla ya mwishoni mwa 80. Alilipa kwa zaidi ya miaka 30!! Ukraine italipa kwa zaidi ya miaka 100!!
 
Hata mimi niliisoma asubuhi hii ndiyo nikaona Zelensky regime akili zao fyatu sana wala mtu husije ukadanganyika kirahisi kwamba wanajeshi wa Ukraine wamejitolea kumwaga damu yao ili kuilinda Continetal Europe
na possibly USA dhidi ya
jeshi la Russia,ukweli wa mambo lengo la Zelensky na wapambe wenzake wanatafuta njia mbadala ya kujiunga na NATO on a fast track~wataizuga NATO/US kwa kusema kwamba kuwa jeshi la Ukraine linamwaga damu nyingi sana kutimiza malengo/kwa niaba ya NATO dhidi ya Urusi.

Hivyo kwa akilï za Senselessky na wapambe wake wanajiona wana haki ya kujiunga na NATO
Kwa kuwa WAUkraine wanakufa kwa wïngikwa niaba ya malengo ya NATO yenyewe dhidi ya Urusi
Ulichoandika hapa ni wendawazimu.

Russia na Ukraine miaka ya 1990s ilisaini mkataba uliosimamiwa na kufadhiliwa na Marekani. Ukraine ikakubali kuharibu silaha zake za nyuklia, silos, warheads, bunkers na missiles. Russia ikakubali haitoivamia Ukraine ila Ukraine isiingie NATO.

Mwaka 2014 Russia ikavamia Ukraine kinyume na makubaliano na Ukraine ikaacha kupambana. Mwaka huohuo Russia ikadhamini makundi ya Donetsk na Luhansk kujitenga, Ukraine ikaacha. After that Ukraine ikachukua mafunzo na silaha kutoka Ulaya.

February 2022 Russia ikavamia Ukraine. Ukraine ikapambana mpaka leo. Bado anatokea muuza mitumba mmoja kutoka kwenye vibanda uko anakwambia "ninaona Zelensky regime akili zao fyatu"

Sasa ni hivi, akili zao fyatu au sio fyatu Ukrainians wameamua kupigana. Hawakudai, hawajakuita ni kiherehere chako mwenyewe, hujaombwa msaada wala kuhitajika kwenda vitani, hukatwi kodi kuwasaidia vita. Na wala hujaombwa maoni kwenye mapigano yao. Wao ndio wanajua wanachotaka, sio wewe. Wewe sio chochote wala sio lolote kwao, kwanza hawajui kama upo. Wanachojua ni bunge lao, serikali, mahakama, jeshi, taasisi zao na washirika wao.

Jina lako la Kihaya, Nyerere aliyepambana na Iddi Amin alipovamia Kagera salient ni mwendawazimu? Mfano nikivamia nyumbani kwako nikawashambulia wanao utajitahidi "usiwe na akili fyatu" yani uniache nikimaliza niondoke?

Na issue ya Ukraine kujiunga NATO si ni ya 2022 baada ya Urusi kuvamia. Kwahiyo utetezi wako ni Urusi ilivamia February 2022, ili Ukraine isiombe kujiunga na NATO somewhere in May 2022 baada ya Urusi kuvamia? Sasa Urusi ilipovamia February justification ilikuwa ni nini.
Yani tuiweke hivi, Tanzanian ikianzisha sheria ya kuua wezi, nikaja nikakuua. Nikienda mahakamani nikajitetea kwamba nimekuua 2023 kwa sababu nina mpango wa kuacha mlango wazi mwaka 2024 na wewe utavamia na kuiba nakuwa sahihi? Justification ya mimi kukuua 2023 ni nini.

BTW Ukraine imeomba kujiunga NATO baada ya Russia kuvunja makubaliano ya mkataba walipovamia Crimea mwaka 2014, bado wakashiriki Donetsk na Luhansk, bado wakavamia 2022. Sasa hayo makubaliano ya nini kuheshimiwa wakati Russia kayavunja mara nne?
 
Pitia post 38#, itakuwa na jibu maridhawa kwa hoja yako
 
PUMBA. Mbona hujasema zile fujo za 2014 kumwondoa rais aliyekuwepo madarakani zilidhaminiwa na kuratibiwa na USA?
 
Umesahau walichofanya kule 'Bucha' ?

AP News
apnews.com
How Russian soldiers ran a 'cleansing' operation in Bucha
Suala la Butcha limeisha jadiliwa na ushahidi wa kimazingira kutolewa ukionyezha dhahiri shahiri, kuwa 'Azov regiments' na other neo Nazi nationalists ndiyo waliua raia wasio na hatua.

Chakurachakura kwenye uzi huu utapatA maelezo.
 
PUMBA. Mbona hujasema zile fujo za 2014 kumwondoa rais aliyekuwepo madarakani zilidhaminiwa na kuratibiwa na USA?
Nani alidhamini machafuko? Tens of thousands of Ukrainians ni wapumbavu kama babu zako kwamba wanadhaminiwa kufanya maandamano (unayoita fujo) kwenye nchi yao. Kuna mtu alilipwa hela akafanye fujo? Na Russia inatoa wapi kiherehere Ukraine wakifanya fujo, au na Kenya walipofanya vurugu za uchaguzi 2007 Tanzania tungewavamia miaka iliyofuata tukisema walidhaminiwa kufanya fujo nchini kwao.

Kwa maana hiyo unalenga kusema Russia imevamia Ukraine kisa mwaka 2014 walikuwa na fujo. Ndivyo serikali ya Russia imesema?
 
Ni kama vile walivyofanya Libya, Sirya, Venezuela nk nk. Marekani ni washenzi sana
 
Kwahiyo maoni yako ilikuwa kwamba baada ya uvamizi wa mrusi Ukraine asipambane kujilinda. Aiache nchi iende kwa Putin ili "wasimwage damu'
MAONI YA NANI TENA UNAHITAJI WAKATI HUYO ALIYETOA HIYO KAULI NI WAZIRI WA ULINZI WA UKRAINE AMBAYE NI MYUKRAINE. Wewe Mykraine wa Mchambawima ndo una uzalendo zaidi na Ukraine kuliko Myukraine? Vita ya Russiavs Ukraine ni ya NATO na Viongozi wa Ukraine wameingia mkenge.
 
Ni kweli askari wa Ukraine wanakufa wengi sana ila wanatoa resistance kubwa sana kwa warusi kiasi kwamba wamewazuia kusonga mbele kwa speed kubwa.

Swali ni je hao wanaotoa upinzani mkubwa ikiwemo kuwaua watusi kwa idadi kubwa ni akina nani ihal askari wengi wanakufa?

Hii vita ni ngumu
Kuna wanajeshi wa nato wapo Ukrainian wanapigana na urusi ndio maana operation imechukuw muda kumalizika kiufupi urusi anapigana na jeshi la nato
 
Back
Top Bottom