secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Ni supa mkuu.Nimeshea experience yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni supa mkuu.Nimeshea experience yangu
That's greatNi supa mkuu.
hapana mkuu, hatugawani gawio la mwezi, makubaliano yetu ni kuwa kila millioni moja nitakayo mpa itazalisha 50k per monthUnampa then mgawane faida itakayopatikana kama gawio ?
If yes hio machine inaonyesha miamala iliyofanyika kwa sku nzima (kutoa na kuweka) ?
Kama ni ndiyo ina maana kila siku akupe report ya miamala yote! Period
Tofaut na hapo ni ngumu kujua kama kapata deposit au withdrawal kadhaa kwa siku husika.....
Baada ya hapo..... mkubaliane, kama utachangia cost nyingn kama Kodi au ni mnagawana tuu kwenye hio capital shares
Mpeane contract ikiwezekana mtumie mwanasheria issue za pesa hazina urafiki wala undugu mkitaka ku maintain relationship yenu ..... Mliyonayo.......
Kama ni mkopo zingatia vigezo vya kukopeshana
All the best
hapana mkuu, hatugawani gawio la mwezi, makubaliano yetu ni kuwa kila millioni moja nitakayo mpa itazalisha 50k per month
na hiyo ni constant haijalishi biashara inaendaje,
kwa mfano nikimpatia milioni tano, kila mwezi ni 250k, millioni tatu kila mwezi ni 150k, na millioni kumi ni 500k kwa mwezi.
Unachotaka kufanya ni uwekezaji, unatoa mtaji then faida mnagawa , yeye anapata na wewe unapata.hapana mkuu, hatugawani gawio la mwezi, makubaliano yetu ni kuwa kila millioni moja nitakayo mpa itazalisha 50k per month
na hiyo ni constant haijalishi biashara inaendaje,
kwa mfano nikimpatia milioni tano, kila mwezi ni 250k, millioni tatu kila mwezi ni 150k, na millioni kumi ni 500k kwa mwezi.
Ndio mkuu, ni uwekezaji mimi nipate na yeye anapata pia.Unachotaka kufanya ni uwekezaji, unatoa mtaji then faida mnagawa , yeye anapata na wewe unapata.
Kila mwezi kwa mil 5 ni 250k , atakupa hivyo kwa miezi mingapi!?. Swali la kwanza.
Je, Mtaji ulotoa unabakia pale pale au ni aina flani ya mkopo!?. Kwamba akikupa 250k kwa mwezi baada ya miezi 20 , 5mil imerudi na yeye anabaki na mtaji wake umekuwa , wewe unakuwa hujapata faida Bali umerejesha tu pesa Yako. Hilo jambo la pili lazima ujue.
Ikitokea kaenda kinyume na mmakubaliano dhamana yake nini, maana 5mil sio pesa ndogo.
Ushauri wangu binafsi, kama unapesa mjaribu na pesa ndogo kwanza labda 2mil au 1mil halafu uone mtaendaje , mkiemda sawa unaweza kuongeza.
Ahaa ok , jaribu ila maandishi na washahidi muhimu sanaa. Pesa hainaga ujamaaNdio mkuu, ni uwekezaji mimi nipate na yeye anapata pia.
hakuna mda maalum wa kuweka hiyo pesa, na mtaji wangu unabaki vile vile, na wakati wowote nikiamua kuchkua pesa yangu nachua na biashara inaishia hapo.
Nashkuru mkuu, wacha nimpe kwanza millioni tatu, nitakuwa napata 150k kwa mwezi.
Kuna watu wanatafutwa kuingiza kwenye mfumo.Okay sawa, mpe ila mimi kama mimi hapana....najua ushetani wa pesa, utampa mtu kwa makubaliano vizuri azungushe ila kuja kuipata sasa hapana.
Mi ndugu yangu wa damu tu nikimpaga pesa kuipata lazma tugombane na kesi ifike kwa mzazi, nshajifunza simpi kwa biashara wala kukopeshana nikimpa nimeitoa tu ya bure si ya kudaiana.
kivipi mkuu, naomba tufafanulie vizuriKuna watu wanatafutwa kuingiza kwenye mfumo.
Umpe mtu 1M kwa makubaliano ya elfu 50? The risk is too high.
Aaah ok goodhapana mkuu, hatugawani gawio la mwezi, makubaliano yetu ni kuwa kila millioni moja nitakayo mpa itazalisha 50k per month
na hiyo ni constant haijalishi biashara inaendaje,
kwa mfano nikimpatia milioni tano, kila mwezi ni 250k, millioni tatu kila mwezi ni 150k, na millioni kumi ni 500k kwa mwezi.
Kijiji kipo Tz?Afadhali sisi wa vijijini, hiyo 10M iki invest after one year una faida ya zaidi ya 100%. Karibu kijijini
ndio maneno yao ili kuvuta wateja...unajua masikini ni mjinga sana siku zote anataka pesa bila kujishuhulisha sijui wanategemea niniDeci panda mbegu utavuna.....mmh anyway za ndaniii ma risk taker ndo hufanikiwa 😂😂😂
maskini vipi wakati yeye anatoa mtaji, huo mtaji angeupata je kama hakujishughulisha na kitu chochote.ndio maneno yao ili kuvuta wateja...unajua masikini ni mjinga sana siku zote anataka pesa bila kujishuhulisha sijui wanategemea nini
Kaka kaka kaka, nimekuita mara 3, usijarbu hyo , kaka wengi wape kaka, utakuja kugombana na watu bure,hayo watu tulishapitia kitambo sana, acha acha acha.maskini vipi wakati yeye anatoa mtaji, huo mtaji angeupata je kama hakujishughulisha na kitu chochote.
yaani mtu atoe mtaji wa 10M hafu unasema ni maskini Dr hyperkid
Hajui kuwa huwa kuna dharura kama ajali, kifo na wizi. Hivi vikitokea kwa huyo aiyempa, maji ataita mmaPesa!!! Umpe mtu, ahangaike aje akupe wewe......achana na hiyo kitu, utapoteza.
Msibani kuna kipengele cha "wanaomdai" 😁Mimi kila nikimpa mtu hela yangu nawaza akifariki je itakuwaje
Kuna familia huwa hazijali sana hcho kipengele,afu unaweza kuta mnaodai ni wengi hvyo kukawa na foleni la mdogo mdogo kulipwaMsibani kuna kipengele cha "wanaomdai" 😁