Hii biashara imekaaje wakuu?

Hii biashara imekaaje wakuu?

Unampa then mgawane faida itakayopatikana kama gawio ?

If yes hio machine inaonyesha miamala iliyofanyika kwa sku nzima (kutoa na kuweka) ?

Kama ni ndiyo ina maana kila siku akupe report ya miamala yote! Period

Tofaut na hapo ni ngumu kujua kama kapata deposit au withdrawal kadhaa kwa siku husika.....

Baada ya hapo..... mkubaliane, kama utachangia cost nyingn kama Kodi au ni mnagawana tuu kwenye hio capital shares

Mpeane contract ikiwezekana mtumie mwanasheria issue za pesa hazina urafiki wala undugu mkitaka ku maintain relationship yenu ..... Mliyonayo.......

Kama ni mkopo zingatia vigezo vya kukopeshana

All the best
hapana mkuu, hatugawani gawio la mwezi, makubaliano yetu ni kuwa kila millioni moja nitakayo mpa itazalisha 50k per month

na hiyo ni constant haijalishi biashara inaendaje,

kwa mfano nikimpatia milioni tano, kila mwezi ni 250k, millioni tatu kila mwezi ni 150k, na millioni kumi ni 500k kwa mwezi.
 
Unachotaka kufanya ni uwekezaji, unatoa mtaji then faida mnagawa , yeye anapata na wewe unapata.

Kila mwezi kwa mil 5 ni 250k , atakupa hivyo kwa miezi mingapi!?. Swali la kwanza.

Je, Mtaji ulotoa unabakia pale pale au ni aina flani ya mkopo!?. Kwamba akikupa 250k kwa mwezi baada ya miezi 20 , 5mil imerudi na yeye anabaki na mtaji wake umekuwa , wewe unakuwa hujapata faida Bali umerejesha tu pesa Yako. Hilo jambo la pili lazima ujue.

Ikitokea kaenda kinyume na mmakubaliano dhamana yake nini, maana 5mil sio pesa ndogo.

Ushauri wangu binafsi, kama unapesa mjaribu na pesa ndogo kwanza labda 2mil au 1mil halafu uone mtaendaje , mkiemda sawa unaweza kuongeza.
 
Ndio mkuu, ni uwekezaji mimi nipate na yeye anapata pia.

hakuna mda maalum wa kuweka hiyo pesa, na mtaji wangu unabaki vile vile, na wakati wowote nikiamua kuchkua pesa yangu nachua na biashara inaishia hapo.

Nashkuru mkuu, wacha nimpe kwanza millioni tatu, nitakuwa napata 150k kwa mwezi.
 
Ahaa ok , jaribu ila maandishi na washahidi muhimu sanaa. Pesa hainaga ujamaa
 
Okay sawa, mpe ila mimi kama mimi hapana....najua ushetani wa pesa, utampa mtu kwa makubaliano vizuri azungushe ila kuja kuipata sasa hapana.

Mi ndugu yangu wa damu tu nikimpaga pesa kuipata lazma tugombane na kesi ifike kwa mzazi, nshajifunza simpi kwa biashara wala kukopeshana nikimpa nimeitoa tu ya bure si ya kudaiana.
Kuna watu wanatafutwa kuingiza kwenye mfumo.

Umpe mtu 1M kwa makubaliano ya elfu 50? The risk is too high.
 
kwa wale wanofanya biashara ya bajajj mathalan, bei ya bajaji kama sikosei ni 10M, na kwa mwezi muwekezaji anapokea 500k hadi 600k.

hii ni sawa sawa kabisa na hiyo ya kumpa wakala 10M na kwa mwezi upate 500k.
 
hapana mkuu, hatugawani gawio la mwezi, makubaliano yetu ni kuwa kila millioni moja nitakayo mpa itazalisha 50k per month

na hiyo ni constant haijalishi biashara inaendaje,

kwa mfano nikimpatia milioni tano, kila mwezi ni 250k, millioni tatu kila mwezi ni 150k, na millioni kumi ni 500k kwa mwezi.
Aaah ok good
 
Mimi langu angalia upande wa hasara pia

Ikitokea kadondoka ni mali ya familia yake.wekeni kimaandishi na rasimisheni ushirikiano wenu

Pili kuna kudhulumiana

Kuhusu biashara ya uwakala mimi sio mzoefu
 
Usijaribu,pesa haijaribiwi kizembe namna hyo.Utapoteza,kama utaweza basi fanya mwenyewe.
Tushalia sana,tushaweka rehani undugu/urafiki na chuki ya kudumu.

Mtu unampa hela/kopesha azungushe baada ya muda kupita ukitaka/kudai pesa mnaanza ubaya na hata atayekulipa anaona kama anakupa Bure anaanza kukupa kiduchukiduchu.
Hela mwanaharamu,nishatoa pesa kwa mtu ya biashara yake ndani ya siku3 tu atarejesha tupate faida wote,kwa sasa hata simu hatipokeleani na mwaka na kitu sasa,mwingine miaka3.
Na wengine pesa ndogo ndogo kibao.
Kwa sasa kipengele cha pesa yangu kutoa kisa risk za kipuuzi sifanyi,Bora kutoa vitu/physical material kuliko pesa
 
Back
Top Bottom