Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wakuu habari?

Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.

Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.

Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina uhalisia wowote?​
 
Biashara ina uhalisia, ila matapeli wengi, Bora ujifunze ufanye mwenyewe sio mtu akufanyie...tena yupo nje uko, akitokomea na mtaji utampatia wap?
 
Hao wanao kushawishi, waombe wakupe hiyo dolla 200, faida ikifika dolla 200 utawalipa, wakikataaa basi ujue sio rahisi kama wanavyo kwambia, "sisemi kama haiwezekani nasema sio rahisi kama inavyosimuliwa na inavhangamoto zake nayenyewe kama biashara zingine zozote"

Mwisho kabisa za kuambiwa changanya na zako
 
Biashara ina uhalisia, ila matapeli wengi, Bora ujifunze ufanye mwenyewe sio mtu akufanyie...tena yupo nje uko, akitokomea na mtaji utampatia wap?
Hapa ndipo hofu ilipo
 
Hao wanao kushawishi, waombe wakupe hiyo dolla 200, faida ikifika dolla 200 utawalipa, wakikataaa basi ujue sio rahisi kama wanavyo kwambia, "sisemi kama haiwezekani nasema sio rahisi kama inavyosimuliwa na inavhangamoto zake nayenyewe kama biashara zingine zozote"

Mwisho kabisa za kuambiwa changanya na zako
Bado nachekecha akili
 
1708799553967.png
 
Wewe jaribu kumwambia ili wazo lilokwambia, au laa awe amekwambia ugumu wa hiyo sekta hapo sina neno la luongeza, ila kama hajakwambia mtinyemtinye wake ,, mwambie ilo wazo nimeandoka hapo umsikie
Nimetokea tu kumwamini kutokana na maelezo yake, ni mdada yuko huko US; na amejikita kwenye hii biashara.
 
Mchanganuo wake:-

BASIC
  • Invest $200 earn $2500
  • Invest $300 earn $3500
  • Invest $400 earn $4500
  • Invest $500 earn $5000

PRO
  • $1000 earn $10,000
  • $2,000 earn $15,000
  • $3,000 earn $20,000
  • $4,000 earn $25,000
  • $5,000 earn $30,000
  • $10,000 earn $50,000.

PREMIUM
  • 1BTC earn 5BTC
  • 2BTC earn 10BTC
  • 3BTC earn 16BTC
  • 4BTC earn 22BTC
  • 5BTC earn 30BTC.
 
Mchanganuo wake:-

BASIC
  • Invest $200 earn $2500
  • Invest $300 earn $3500
  • Invest $400 earn $4500
  • Invest $500 earn $5000

PRO
  • $1000 earn $10,000
  • $2,000 earn $15,000
  • $3,000 earn $20,000
  • $4,000 earn $25,000
  • $5,000 earn $30,000
  • $10,000 earn $50,000.

PREMIUM
  • 1BTC earn 5BTC
  • 2BTC earn 10BTC
  • 3BTC earn 16BTC
  • 4BTC earn 22BTC
  • 5BTC earn 30BTC.
Mtoa mada shukuru sana hawa watu wamecomment kwenye huu uzi, kwamba dola 200, profit dolla 2500,

Muombe akufhamini hiyo dolla 200 profit ikitoka utampa dolla 1000 then wewe kwenye ile dollar 250 utabaki na dollar 1500 akikubali hii account sito futa ila ntacha kucomment kwenyw nyuzi yoyote mpaka mwaka uishe
 
Back
Top Bottom