Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

Mjomba hizo websites wanatengeneza wenyewe kila kitu mpaka mifumo ya kupokea transactions zote, unabisha weka hio dollar 200 utarudi tena hapa kutuambia huku unalia Ila usiseme hatukukwambia

Kenge hua HAUSIKII mpaka sikio litoke damu

View: https://www.youtube.com/watch?v=7gI-w6Dw77I

Source nimekupa kabisa fanya at your own risk

Huyo jamaa anaeelezea humo alikua anaicheza hio michezo a to z kaelezea kila kitu kinavyokua na wanaoperate all over the world na wana target victims km wewe mwenye njaa za Pesa kijingajinga mnapenda easy money on the internet mnaishia kupigwa cyber slave

View: https://www.youtube.com/watch?v=Ti7YDegRMYE

Ebu fafanua vizuri kuhusu link niliyoiweka, ni ya matapeli?
 
Mtapeliwa haamini mpaka katapeliwa Equation x, Sasa tutaongeza na equation y then tu solve simultaneously equation, ili uone kama equation ziko well defined au majibu yanakuja infinity.
Yaan Equation x unaambiwa kwamba hio dollar 200 mtumie huyo tapeli atakachofanya atakuonyesha kwamba imeingia kwenye akaunt yako alafu baada ya hapo akaendesha scam yake na kuonyesha kua umepiga km dollar 500 kwa hio itakua dollar 700 inasoma kwenye akaunt yako na atakuonyesha lakini hatokuruhusu kutoa mpaka uingize dollar 1000 kwanza (wanapiga lock akaunt yako), sasa wewe na mitamaa yako na ulivyo zuzu utatuma dollar 1000 alafu circle itaendelea hivyo yeye anavuna TU kutoka kwako wewe hupati kitu alafu kule washenzi wanachekelea walivyo kufanya Zombie na mtumwa wao unatuma tu Pesa bila kujiuliza mara 3
 
Yaan Equation x unaambiwa kwamba hio dollar 200 mtumie huyo tapeli atakachofanya atakuonyesha kwamba imeingia kwenye akaunt yako alafu baada ya hapo akaendesha scam yake na kuonyesha kua umepiga km dollar 500 kwa hio iitakua dollar 700 inasoma kwenye akaunt yako na atakuonyesha lakini hatokuruhusu kutoa mpaka uingize dollar 1000 kwanza (wanapiga lock), sasa wewe na mitamaa yako na ulivyo zuzu utatuma dollar 1000 alafu circle utaendelea hivyo yeye anavuna TU kutoka kwako wewe hupati kitu alafu kule washenzi wanachekelea walivyo kufanya Zombie na mtumwa wao unatuma tu Pesa bila kujiuliza mara 3
Hakuna ela za hivyo anazotaka Equation x, kama Wana uwezo wa kuzalisha faida zote hizo Kwa nini wahangaike na dola 200. Kwamba yeye anakosa dola 200 imzalishie faida ya dola 2500 akae anawaomba watu waweke hio pesa.

Niwatu wachache ambao huwa wanaamin scammer wapo bila kutapeliwa. Sasa muache atapeliwe ili aweze kuwapa elimu wengine, maana yeye Equation x ni tomaso haamini mpaka ajionee katapeliwa.
 
Alafu ni mabinti wakali kweli 😀; au ndio utapeli wa kisasa
 
Yaan Equation x unaambiwa kwamba hio dollar 200 mtumie huyo tapeli atakachofanya atakuonyesha kwamba imeingia kwenye akaunt yako alafu baada ya hapo akaendesha scam yake na kuonyesha kua umepiga km dollar 500 kwa hio itakua dollar 700 inasoma kwenye akaunt yako na atakuonyesha lakini hatokuruhusu kutoa mpaka uingize dollar 1000 kwanza (wanapiga lock akaunt yako), sasa wewe na mitamaa yako na ulivyo zuzu utatuma dollar 1000 alafu circle itaendelea hivyo yeye anavuna TU kutoka kwako wewe hupati kitu alafu kule washenzi wanachekelea walivyo kufanya Zombie na mtumwa wao unatuma tu Pesa bila kujiuliza mara 3
Hapa kuna cha kujifunza
 
Back
Top Bottom