Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

Scammers kaa mbali mita elfu 50 usiguse huo waya,
Mi nimemwambia ajaribu kumuomba amuazime hiyo dolla 200, profit ikitoka anarudisha na nyongeza juu, aone kama atakubali huyo anayempa hiyo fursa, ambaye kashalewa progit mpaka anaanza kusaidia wengine kuingia kwenye fursa🤣
 
Mtoa mada shukuru sana hawa watu wamecomment kwenye huu uzi, kwamba dola 200, profit dolla 2500,

Muombe akufhamini hiyo dolla 200 profit ikitoka utampa dolla 1000 then wewe kwenye ile dollar 250 utabaki na dollar 1500 akikubali hii account sito futa ila ntacha kucomment kwenyw nyuzi yoyote mpaka mwaka uishe
Usimponze hao scammers wana mbinu nyingi sana, nyingi sana za kupiga hela maelezo ni marefu Ila usiguse niliona DW walionyesha documentary ya hao jamaa wakawa framed wapo waliodakwa na wapo wanaosakwa mpaka kesho, issue ni hio hio cryptocurrency
 
Mi nimemwambia ajaribu kumuomba amuazime hiyo dolla 200, profit ikitoka anarudisha na nyongeza juu, aone kama atakubali huyo anayempa hiyo fursa, ambaye kashalewa progit mpaka anaanza kusaidia wengine kuingia kwenye fursa🤣
Asijaribu
 
Usimponze hao scammers wana mbinu nyingi sana, nyingi sana za kupiga hela maelezo ni marefu Ila usiguse niliona DW walionyesha documentary ya hao jamaa wakawa framed wapo waliodakwa na wapo wanaosakwa mpaka kesho, issue ni hio hio cryptocurrency
Link yao
 
Link yao
Mjomba hizo websites wanatengeneza wenyewe kila kitu mpaka mifumo ya kupokea transactions zote, unabisha weka hio dollar 200 utarudi tena hapa kutuambia huku unalia Ila usiseme hatukukwambia

Kenge hua HAUSIKII mpaka sikio litoke damu

View: https://www.youtube.com/watch?v=7gI-w6Dw77I

Source nimekupa kabisa fanya at your own risk

Huyo jamaa anaeelezea humo alikua anaicheza hio michezo a to z kaelezea kila kitu kinavyokua na wanaoperate all over the world na wana target victims km wewe mwenye njaa za Pesa kijingajinga mnapenda easy money on the internet mnaishia kupigwa cyber slave

View: https://www.youtube.com/watch?v=Ti7YDegRMYE
 
Mchanganuo wake:-

BASIC
  • Invest $200 earn $2500
  • Invest $300 earn $3500
  • Invest $400 earn $4500
  • Invest $500 earn $5000

PRO
  • $1000 earn $10,000
  • $2,000 earn $15,000
  • $3,000 earn $20,000
  • $4,000 earn $25,000
  • $5,000 earn $30,000
  • $10,000 earn $50,000.

PREMIUM
  • 1BTC earn 5BTC
  • 2BTC earn 10BTC
  • 3BTC earn 16BTC
  • 4BTC earn 22BTC
  • 5BTC earn 30BTC.
Ngosha weka mbali na watoto
 
Back
Top Bottom