Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

Mbona unaelekea kuliwa hela kijinga hivi, bro una akili ya kupata dola 200 kabisaa ila akili ya kuzalisha ikue ndo huna ?? Uliona wapi return ya 10× investment ikiwa kiwazi hivi ?? [emoji23][emoji23][emoji23]nmejipata nacheka sana , anyways mtumie tupo pale kwa kona tukingoja utupe mrejesho
 
Wanasema ili ufanikiwe hutakiwi kuogopa risk; ninachofanya kwa sasa ni kuzi-calculate tu kama zitaweza kuvumilika
 
Binafsi bado niko kwenye sintofahamu ya uhalisia wa hii kitu Bitcoin.

Bongo zozo, anadai bitcoin ni real na ndio imemfanikisha kupata fedha za kusafiri na kula bata duniani.

Pia anasema kwa miaka ya mbeleni Bitcoin itatumika na watu wengi.

Nenda You Tube kwenye channel yake "Bongo zozo" search Bitcoin for Swahili speakers ame elezea kwa kina zaidi.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana kwa sababu huko nje kuna vijana wadogo wana mafanikio makubwa, kuliko ata wastaafu wa huku kwetu
 
Kuna wengine wa Telegram hawa hapa

ARBING CRYPTO INVESTMENT

::::::::::LOW RISK CRYPTO INVESTMENT:::::::::::::

***Profit 7 usd/week

*20usd worth crypto/Risk 50%
*30usd worth crypto/Risk 40%
*75usd worth crypto/Risk 30%
*210usd worth crypto/Risk 20%
*650usd worth crypto/Risk 10%
*2100usd worth crypto/Risk 1%

::::::::MEDIUM RISK CRYPTO INVESTMENT::::::::

***Profit 42 usd/week

*40usd worth crypto/Risk 50%
*120usd worth crypto/Risk 40%
*370usd worth crypto/Risk 30%
*1200usd worth crypto/Risk 20%
*3800usd worth crypto/Risk 10%

:::::::::: RISK CRYPTO INVESTMENT:::::::::::::

***Profit 70 usd/week

*70usd worth crypto/Risk 50%
*220usd worth crypto/Risk 40%
*600usd worth crypto/Risk 30%
*2000usd worth crypto/Risk 20%

::::::::::HIGH RISK CRYPTO INVESTMENT:::::::::::::

***Profit 140 usd/week

*120usd worth crypto/Risk 50%
*370usd worth crypto/Risk 40%
*1300usd worth crypto/Risk 30%
*4000usd worth crypto/Risk 20%

🔥WE ONLY ACCEPT=USDT,BCH,BTC

📌RISK=Possibility of lossing your main capital if the trade flactuate negatively for the percent given...

Forexample, investor with 20% risk investment capital,he/she may lose the capital is the trade flactuate negatively more than 80%

📢RISK ONLY AFFECT CAPITAL

🔞 INVESTORS ARE ALLOWED

☎️CONTACT ADMIN @queqy

FOR DEPOSITION OR WITHDRAW.

(Withdraw weekly only on Monday).
 
Nilivyouliza wao wananufaika vipi na mtaji wangu, wakasema wanachukua 15% ya faida
 
Attachments

  • IMG-20240228-WA0487.jpg
    IMG-20240228-WA0487.jpg
    34.4 KB · Views: 11
Back
Top Bottom