Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
...au la hasaragawio la faida
Hao wanao kushawishi, waombe wakupe hiyo dolla 200, faida ikifika dolla 200 utawalipa, wakikataaa basi ujue sio rahisi kama wanavyo kwambia, "sisemi kama haiwezekani nasema sio rahisi kama inavyosimuliwa na inavhangamoto zake nayenyewe kama biashara zingine zozote"Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina uhalisia wowote?
Naona huko nje vijana wadogo wanamiliki mansion tu; sisi huku bado tumejificha kwenye vibanda.😀unataka pesa za kudownload mkuu?
Hapa ndipo hofu ilipoBiashara ina uhalisia, ila matapeli wengi, Bora ujifunze ufanye mwenyewe sio mtu akufanyie...tena yupo nje uko, akitokomea na mtaji utampatia wap?
Hapa ndipo changamoto ilipo...au la hasara
ingekuwa ni biashara ya faida pekee, naamini asingekuitaHapa ndipo changamoto ilipo
Bado nachekecha akiliHao wanao kushawishi, waombe wakupe hiyo dolla 200, faida ikifika dolla 200 utawalipa, wakikataaa basi ujue sio rahisi kama wanavyo kwambia, "sisemi kama haiwezekani nasema sio rahisi kama inavyosimuliwa na inavhangamoto zake nayenyewe kama biashara zingine zozote"
Mwisho kabisa za kuambiwa changanya na zako
Bado nachekecha akili
Nimetokea tu kumwamini kutokana na maelezo yake, ni mdada yuko huko US; na amejikita kwenye hii biashara.Wewe jaribu kumwambia ili wazo lilokwambia, au laa awe amekwambia ugumu wa hiyo sekta hapo sina neno la luongeza, ila kama hajakwambia mtinyemtinye wake ,, mwambie ilo wazo nimeandoka hapo umsikie
Ni kweli kila biashara inachangamoto zake; kwa kuwa ni mdada wa huko US acha tu nimwamini kwa kumuonyesha sisi wanaume hatuogopi 😀; anaweza kuja kutokea kwenye ule uzi wa kimasihara.ingekuwa ni biashara ya faida pekee, naamini asingekuita
Wanajua kuomba hela; hawajui umeitolea jasho kivipi
Endelea kukaza fuvu, ila ujue unapigwa. Soon tutaskia mlioNi kweli kila biashara inachangamoto zake; kwa kuwa ni mdada wa huko US acha tu nimwamini kwa kumuonyesha sisi wanaume hatuogopi 😀; anaweza kuja kutokea kwenye ule uzi wa kimasihara.
🤣🤣🤣 unafahamiana nae, au mmefahamiana mtandaoni?Nimetokea tu kumwamini kutokana na maelezo yake, ni mdada yuko huko US; na amejikita kwenye hii biashara.
Mtoa mada shukuru sana hawa watu wamecomment kwenye huu uzi, kwamba dola 200, profit dolla 2500,Mchanganuo wake:-
BASIC
- Invest $200 earn $2500
- Invest $300 earn $3500
- Invest $400 earn $4500
- Invest $500 earn $5000
PRO
- $1000 earn $10,000
- $2,000 earn $15,000
- $3,000 earn $20,000
- $4,000 earn $25,000
- $5,000 earn $30,000
- $10,000 earn $50,000.
PREMIUM
- 1BTC earn 5BTC
- 2BTC earn 10BTC
- 3BTC earn 16BTC
- 4BTC earn 22BTC
- 5BTC earn 30BTC.
Na hua wabishi sana🤣🤣Endelea kukaza fuvu, ila ujue unapigwa. Soon tutaskia mlio