Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

Scammers kaa mbali mita elfu 50 usiguse huo waya,
Mi nimemwambia ajaribu kumuomba amuazime hiyo dolla 200, profit ikitoka anarudisha na nyongeza juu, aone kama atakubali huyo anayempa hiyo fursa, ambaye kashalewa progit mpaka anaanza kusaidia wengine kuingia kwenye fursa🤣
 
Usimponze hao scammers wana mbinu nyingi sana, nyingi sana za kupiga hela maelezo ni marefu Ila usiguse niliona DW walionyesha documentary ya hao jamaa wakawa framed wapo waliodakwa na wapo wanaosakwa mpaka kesho, issue ni hio hio cryptocurrency
 
Asijaribu
 
Link yao
 
Mjomba hizo websites wanatengeneza wenyewe kila kitu mpaka mifumo ya kupokea transactions zote, unabisha weka hio dollar 200 utarudi tena hapa kutuambia huku unalia Ila usiseme hatukukwambia

Kenge hua HAUSIKII mpaka sikio litoke damu

View: https://www.youtube.com/watch?v=7gI-w6Dw77I
Source nimekupa kabisa fanya at your own risk

Huyo jamaa anaeelezea humo alikua anaicheza hio michezo a to z kaelezea kila kitu kinavyokua na wanaoperate all over the world na wana target victims km wewe mwenye njaa za Pesa kijingajinga mnapenda easy money on the internet mnaishia kupigwa cyber slave

View: https://www.youtube.com/watch?v=Ti7YDegRMYE
 
Ngosha weka mbali na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…