Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

Ebu fafanua vizuri kuhusu link niliyoiweka, ni ya matapeli?
 
Mtapeliwa haamini mpaka katapeliwa Equation x, Sasa tutaongeza na equation y then tu solve simultaneously equation, ili uone kama equation ziko well defined au majibu yanakuja infinity.
Yaan Equation x unaambiwa kwamba hio dollar 200 mtumie huyo tapeli atakachofanya atakuonyesha kwamba imeingia kwenye akaunt yako alafu baada ya hapo akaendesha scam yake na kuonyesha kua umepiga km dollar 500 kwa hio itakua dollar 700 inasoma kwenye akaunt yako na atakuonyesha lakini hatokuruhusu kutoa mpaka uingize dollar 1000 kwanza (wanapiga lock akaunt yako), sasa wewe na mitamaa yako na ulivyo zuzu utatuma dollar 1000 alafu circle itaendelea hivyo yeye anavuna TU kutoka kwako wewe hupati kitu alafu kule washenzi wanachekelea walivyo kufanya Zombie na mtumwa wao unatuma tu Pesa bila kujiuliza mara 3
 
Hakuna ela za hivyo anazotaka Equation x, kama Wana uwezo wa kuzalisha faida zote hizo Kwa nini wahangaike na dola 200. Kwamba yeye anakosa dola 200 imzalishie faida ya dola 2500 akae anawaomba watu waweke hio pesa.

Niwatu wachache ambao huwa wanaamin scammer wapo bila kutapeliwa. Sasa muache atapeliwe ili aweze kuwapa elimu wengine, maana yeye Equation x ni tomaso haamini mpaka ajionee katapeliwa.
 
Alafu ni mabinti wakali kweli πŸ˜€; au ndio utapeli wa kisasa
 
Hapa kuna cha kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…