Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Jamaa yangu alinipitia tuende somewhere kusherehekea sikukuu yetu ya Muunganisho wa Tanganyika na Tangapwani.
Alikuja na gari yake mpya Toyota Rumion mwaka 2008 engine ya 1.8 actually hizi gari huwa naziona tu sikuwahi panda au dhania zingekuwa nzuri.
Ndani mambo si mengi saaaana. Ila imetulia sana barabarani. Inakamata vizuri lami hata ukifika 140 unaona gari imetulia tu imelalia lami vizuri inaji servia taratibu.
Nlichopenda ukienda upande wa Manual ina gear mpaka 7. Balaa lake si dogo. From 0- 100 kms inatumia sekunde 9. So nayo imo vizuri tu. Pia ni push start. Yaani unawasha kwa kubonyeza kitufe siyo kuzungusha funguo.
Jambo ambalo sikupenda sana ni kuwa ni CVT gear box. Inapobadili gear husikii kitu upande wa auto. Mimi napenda nisikie gear ikibadilika. Of course nina gari yenye mfumo huo but siifurahii sana. Coz napenda nisikie kitu kiki change.
Ina ECO system unapokuwa speed ndogo automatically inaenda kwenye mfumo huo. Ukikanyaga mafuta ikachanganya inajiondoa yenyewe.
Kiufupi nimeifurahia kuliko Forester yangu ya 2011 sijui kwa nini. Kubwa ni uwezo wake wa ku absorb mashimo kuliko Forester XT 2011. Yangu ni mpya pia ya mwaka jana mwezi wa 11.
But kuna button niliiona pembeni chini ya Usukani. Ni kabutton kadogo tu keusi. Nlimuuliza jamaa haka kana kazi gani. Hakuweza jibu. Akasema naye hajui sababu aliwauliza show room hawakuweza mjibu so anaogopa kukabonyeza.na akanitaka nisikaguse kanaweza kuwa ni kajipu Uchungu.
Ka button kenyewe ndo haka hapa. Wadau wenye kufahami je. Kana kazi gani haka.