Hii changamoto ya majungu kwenye ajira mnapambana nayo vipi wenzangu?

Habari wana jukwaa?
1.Unaamka asubuhi na stress unajiuliza leo itakuaje tena nini kitatokea huko?
2.Kuna wale wanajua kujipendekeza kwa boss na kujifanya wanainformation zote jinsi shughuli za kiofisi zinavyokwenda(Machawa).
3. Kuna wale wana vijikundi vyao vya masengenyo, hao ukitoka tu wanakusema , kuna muda wanasemana mpaka wao wenyewe.
4. Kuna yule boss mwenyewe kutwa kujinunisha, salamu usipo msalimia wewe basi usitegemee yeye kuanza kukusalimia wewe.

Wakuu nipo mkoa X napigania ugali, nalipwa 500k taasisi binafsi, ila naona hizi changamoto zinanivuruga sana. Nina Akiba ya 1.5million nategemea mwez wa 11 niwe hata na 3+ million,, nafikiria kuachana na hii kazi kwakweli, nikajaribu hata biashara. Mimi ni wale watu ambao napenda kuyachukulia mambo personal sana sasa Nateseka sana na Mambo kama hayo juu kwenye maofisi, sina Amani kabisa.

Mwenye ushauri tafadhali wakuu.
Natanguliza shukrani

Usipende kujali mambo ya wengine. Yatakutesa

Fanya mambo yako. Ishi unavyotaka bila kumdhuru yeyote
 
Habari wana jukwaa?
1.Unaamka asubuhi na stress unajiuliza leo itakuaje tena nini kitatokea huko?
2.Kuna wale wanajua kujipendekeza kwa boss na kujifanya wanainformation zote jinsi shughuli za kiofisi zinavyokwenda(Machawa).
3. Kuna wale wana vijikundi vyao vya masengenyo, hao ukitoka tu wanakusema , kuna muda wanasemana mpaka wao wenyewe.
4. Kuna yule boss mwenyewe kutwa kujinunisha, salamu usipo msalimia wewe basi usitegemee yeye kuanza kukusalimia wewe.

Wakuu nipo mkoa X napigania ugali, nalipwa 500k taasisi binafsi, ila naona hizi changamoto zinanivuruga sana. Nina Akiba ya 1.5million nategemea mwez wa 11 niwe hata na 3+ million,, nafikiria kuachana na hii kazi kwakweli, nikajaribu hata biashara. Mimi ni wale watu ambao napenda kuyachukulia mambo personal sana sasa Nateseka sana na Mambo kama hayo juu kwenye maofisi, sina Amani kabisa.

Mwenye ushauri tafadhali wakuu.
Natanguliza shukrani
NENDA KANUNUE KIBUYU UKIFIKA OFISINI KIWEKE MBELE UTANISHUKURU
 
Kuna ofisi nilifanya kazi, walikuwa na list nzimaa na pia kuna vikundi vilijikita mizizi na kuna wale wakongwe walikuwa wanajiona wao ndio kila kitu. Nilivumiliaa ila kuna kipindi yakazidi nikafunguka kwa boss mzito ambaye alinipush sana nimuambie maana alikuwa anaona dhahiri treatment walizokuwa wananipa. Ila after hapo nilijiona snitch sana na sikukaa muda nikaacha hiyo kazi

Japo sikushauri kufanya hivyo maana hakuna ofisi utakayoenda usikutane nayo. Yanatofautiana viwango tu ila haipekuki. Cha msingi ongea na watu ila usishee info zako, halafu usiwape reaction, kuwa unpredictable. Ukikaa hivi huwa hawakawii kunafkiana wenyewe kwa wenyewe na Ikishafikia point hiyo, utaamua unadeal nao vipi, uwachonganishe kwa kuwachana ukweli wote wakiwa pamoja au utakamata chawa mmoja wa kukupa info hususani kama wakipanga jambo baya ili ujilinde.
 
Habari wana jukwaa?
1.Unaamka asubuhi na stress unajiuliza leo itakuaje tena nini kitatokea huko?
2.Kuna wale wanajua kujipendekeza kwa boss na kujifanya wanainformation zote jinsi shughuli za kiofisi zinavyokwenda(Machawa).
3. Kuna wale wana vijikundi vyao vya masengenyo, hao ukitoka tu wanakusema , kuna muda wanasemana mpaka wao wenyewe.
4. Kuna yule boss mwenyewe kutwa kujinunisha, salamu usipo msalimia wewe basi usitegemee yeye kuanza kukusalimia wewe.

Wakuu nipo mkoa X napigania ugali, nalipwa 500k taasisi binafsi, ila naona hizi changamoto zinanivuruga sana. Nina Akiba ya 1.5million nategemea mwez wa 11 niwe hata na 3+ million,, nafikiria kuachana na hii kazi kwakweli, nikajaribu hata biashara. Mimi ni wale watu ambao napenda kuyachukulia mambo personal sana sasa Nateseka sana na Mambo kama hayo juu kwenye maofisi, sina Amani kabisa.

Mwenye ushauri tafadhali wakuu.
Natanguliza shukrani
Pole sana mdogo wanguu

Pole sana mdogo wangu ,haya mambo yapo na yalikuwepo Toka enzi za Adamu na Eva!Cha msingi fanyakazi zako kwa usahihi na kuwa mnyenyekevu wa moyo na kumtanguliza Mungu mbele Kwa uzoefu wangu kazi usiiache,niliwahi kufanya kazi kampuni Moja na ofisini hatukuwa wengi kuna jamaa alikuwa mshirikina na muongo balaa!Ila kwa kuwa Mimi Toka utoto wangu sikuaminishwa kwenye mambo ya kishirikina .naamini Mungu yupo.Jamaa kaingia kwenye 18zangu nimepiga nae mchongo kaenda Kuni choma kwa bosi , mwisho wa siku huko kwenye mchongo kaacha namba ya simu ambayo ni yake akidhani ni yangu Tukatoka na boss,yeye na Mimi ,jamaa tuliyefanya nae mchongo,kumuona tuu kwanza kubwbwaja umeniletea Tena mzigo jamaa yangu!.Toka siku hiyo boss akaona jamaa kumbe hafai.Na tulimchana live ofisi nzima.
 
Habari wana jukwaa?
1.Unaamka asubuhi na stress unajiuliza leo itakuaje tena nini kitatokea huko?
2.Kuna wale wanajua kujipendekeza kwa boss na kujifanya wanainformation zote jinsi shughuli za kiofisi zinavyokwenda(Machawa).
3. Kuna wale wana vijikundi vyao vya masengenyo, hao ukitoka tu wanakusema , kuna muda wanasemana mpaka wao wenyewe.
4. Kuna yule boss mwenyewe kutwa kujinunisha, salamu usipo msalimia wewe basi usitegemee yeye kuanza kukusalimia wewe.

Wakuu nipo mkoa X napigania ugali, nalipwa 500k taasisi binafsi, ila naona hizi changamoto zinanivuruga sana. Nina Akiba ya 1.5million nategemea mwez wa 11 niwe hata na 3+ million,, nafikiria kuachana na hii kazi kwakweli, nikajaribu hata biashara. Mimi ni wale watu ambao napenda kuyachukulia mambo personal sana sasa Nateseka sana na Mambo kama hayo juu kwenye maofisi, sina Amani kabisa.

Mwenye ushauri tafadhali wakuu.
Natanguliza shukrani
usilete u-nice guy kazini

usitafute validation ya mtu awaye yote kazini

apo hakuna rafiki

mmekutana wote mnahemea -sema labda mpo levo tofauti tu

chapa kazi sepa zako nukta
 
Nilikutana na kitu ya aina hii kipindi nimeajiriwa aisee kidogo nidate. Ila leo namshukuru sana Mungu asilimia kubwa wapo upande wangu.

Muhimu jitahidi kufanya kazi zako kwa weledi wa hali ya juu taratibu utaanza kuona utofauti japo mwanzo mambo yatazidi kuwa mengi kwa hao machawa wa boss sababu kazi zinazohitaji akili kubwa zote utapewa wewe wao watabaki kupiga story za umbea na boss na hapo kimbembe ndipo kitaanza utachukiwa mpaka na mfanya usafi hapo ofisini kwenu lakini mwisho watanyoosha mikono juu.
 
Kuna ofisi nilifanya kazi, walikuwa na list nzimaa na pia kuna vikundi vilijikita mizizi na kuna wale wakongwe walikuwa wanajiona wao ndio kila kitu. Nilivumiliaa ila kuna kipindi yakazidi nikafunguka kwa boss mzito ambaye alinipush sana nimuambie maana alikuwa anaona dhahiri treatment walizokuwa wananipa. Ila after hapo nilijiona snitch sana na sikukaa muda nikaala hiyo kazi

Japo sikushauri kufanya hivyo maana hakuna ofisi utakayoenda usikutane nayo. Yanatofautiana viwango tu ila haipekuki. Cha msingi ongea na watu ila usishee info zako, halafu usiwape reaction, kuwa unpredictable. Ukikaa hivi huwa hawakawii kunafkiana wenyewe kwa wenyewe na Ikishafikia point hiyo, utaamua unadeal nao vipi, uwachonganishe kwa kuwachana ukweli wote wakiwa pamoja au utakamata chawa mmoja wa kukupa info hususani kama wakipanga jambo baya ili ujilinde.
Kuwachana kistaarabu ndio dawa ila usifanye kwa hasira.
 
Ridhiki mwanzo wa chuki, wewe pambana mkuu mpaka kieleweke. Usiwe soft hearted, wakisengenya na wewe sengenya, wakiroga na wewe roga, wakileta uchawa na wewe kuwa chawa. Mpaka kieleweke mkuu, Heshima utaikuta kwa familia yako.
 
Naifaham Hali unayopitia...maana Mimi pia ilinipa wakati mgumu sana,nikaja kugundua kumbe usione mtu Yuko kwenye biashara muda mrefu amepogana vita vingi sana,vile vile na sehemu yoyote ambayo mtu anaweza kupata chochote kitu,watu usiowafaham hata kidogo wataanza kufanya mambo yanayokuumiza mbele Yako,kucheka ovyo ovyo Ile ya kinafiq,unakuta kitu hakichekeshi lakini wao watalazimisha kucheka Kwa nguvu ili wakuoneshe eti kwamba Wana furaha,hawajui kwamba furaha siyo kucheka,bali furaha ni amani iletayo Nuru usoni.cha kufanya usijihukumu wewe binafsi,anza kuachilia mambo yote yanayokukwaza,kumbuka neno la Mungu linasema Utavuna ulichopanda Wala siyo mahali ulipopanda,Kwa maana hiyo fanya jinsi maagizo ya Mungu yanavyosema nawe utakuwa huru. Ukitaka amani na utulivu kazini,kuwa wa kwanza kuwapa watu wengine hiyo amani na utulivu,salimia yoyote ofisini bila kuangalia cheo chake,hii SI Kwa sababu unataka usalimiwe,hapana,ni Kwa sababu hutaki kurudi trap zao wanazokuwekea Kila siku. na shetani wa uchungu hucheza sana maeneo hayo
 
Majungu ni sehemu ya maisha yapo hata shuleni,mtaani,kwenye familia mpaka sehemu za ibada, na wapiga majungu walivo yaani ukifanya zuri wanaongea na hata ukifanya baya wanaongea,so kikubwa pambana na jambo la msingi kabisa lililokuleta kazini.
 
Shukran sana mkuu barikiwa.
 
Back
Top Bottom