Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Unahangaika bure huyo anakaza tu fuvu kashaelewa. Kama shida ni tarehe 30 basi watulipe 30 Kwa 30. Sio mara 22 mara 25
 
Mwisho wa mwezi wewe unaelewaje?
 
Mr Clean amekusikia 😂😂
 
Mwisho wa mwezi wewe unaelewaje?
Pale ambapo serikali imejiridhisha na kuhakiki vema taarrifa za watumishi ni sahihi, ina uwezo na ipo tayari kulipa mishahara ya watumishi katika mwezi husika. Full stop .
Hiyo sijui tarehe 22, 25 au 30 baki nayo wewe mwenyewe si muhimu sana
 
Hkn logic yoyote hapo kwa kifupi tu Ni Kwamba hkn mwezi serekali iliwahi kufusha mwezi hata siku tano Bila kuwalipa watu wake

Tulia tunachakata majina soon utaenda kulipa madeni
 
Pamoja,na tozo zoote ila,wapi

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Hkn logic yoyote hapo kwa kifupi tu Ni Kwamba hkn mwezi serekali iliwahi kufusha mwezi hata siku tano Bila kuwalipa watu wake

Tulia tunachakata majina soon utaenda kulipa madeni
Inaonyesha Dhahiri jinsi usivyojua hata Kusoma Logic
 
Kuajiriwa ni utumwa, kubali kataa ni utumwa tuu.
 
Kama ulipwi milion 6 usinunue gari.

Sent from my iPhone 15 Pro Max
Ila jenerali ulimwengu kasema kweli, magari kwa mtumishi wa ajirampya ni mateso matupu, unakuta mtu take home ni 850,000/- kaenda kukopa gari anakatwa 250,000/-, anabaki na 600,000/-, hiyo hiyo laki 6 ale,alipe Kodi,ajaze mafuta kwenye gari,na afanyie service gari,
 
Mwanzo wa kuanza kazi ni ule ulioainishwa kwenye mkataba, bila kujali umeanza kazi tarehe 2 au 3 au 4, haijalishi, bali kinachoangaliwa ni kwenye mkataba wa ajira, na kwenye mikataba tarehe ya kuanza kazi ni tafehe 1. Sasa kwanini ulipwe tarehe 22 badala ya 30?
 
Sio mikataba yote huanza Tarehe 1 mkuu Nenda jikite kwenye kuelewa zaidi utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…