Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Pesa hamna? Dreamliner limepeleka taifa stars morocco, limekaa kule siku hamsa, timu imepewa 0.5bn ya bure bure, halafu unasema sirikale haina 700bn ya kulipa watumishi? Acheni utani. Mama anaupiga mwingi
Wapi nimesema mama hana pesa ya kulipa Watumishi? Ni hivi, mimi ni Mzabuni najua nisemalo. Kama kuna muhasibu au mtu anayesimamia mfumo wa Malipo ya serikali (MUSE) aseme kama wameweza kufanya malipo ya miradi ya maendeleo hadi OC kama zimelipwa toka mwezi wa 10. Nakwambia nchi haina pesa miradi yote imesimama.
 
Yaani pesa hakuna na ndio kwanza tunapitisha sheria mpya ya mafao ya wenza wa viongozi wastaafu.

Huyu mama aisee ni kyande.
 
Mimi sijaajiriwa na serikali ila nina biashara zangu kubwa tu naziendesha ila sijawahi kukashifu aliyeajiriwa kwamba ni mtumwa,wengi wenye maneno hayo ni majobless wanajifariji.
Unadhani kila mtu akijiajiri kazi za umma atafanya nani? Jeshini,polisi,magereza,hospital?
Mkuu naomba ajira
 
Chief hangaza mpaka akakope Kwa MATAJIRI wa viwanda vya miwa ndio mlipwe sio Leo[emoji1]
 
Back
Top Bottom