Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Kimsingi hamuna malipo yoyote si kwa wakandarasi wala wazabuni wala mradi wowote wa Maendeleo toka mwanzo wa mwezi huu. Hali ni ngumu kibubu kimekauka kabisa.
Pesa hamna? Dreamliner limepeleka taifa stars morocco, limekaa kule siku hamsa, timu imepewa 0.5bn ya bure bure, halafu unasema sirikale haina 700bn ya kulipa watumishi? Acheni utani. Mama anaupiga mwingi
 
Pole sana,hizi hasira za kucheleweshewa mshahara!
Sina njaa Zaid nimeona niwachane wote mnadhan kila mwajiriwa serikalin Ana njaa kuwazid nyie mliomitaani.
Na mbaya Zaid hao hao watumish kwa asilimia kubwa ndio tegemeo kwa nyie wafanyabiashara ndogo ndogo.
Kwahiyo wewe ndio una njaa maana biashara imebuma mzunguko hakuna ,had watumishi wapate salary ndipo na wewe unawili.
 
Muache huyo wa biashara ndogo ndogo anaufala mwingi
eti anatuonea huruma qmmae kweli
 
Najua na Hadi Kuna cheo kinaitwa Chief of military intelligence
Huwezi kulinganisha Military intelligence na TISS ambayo ndio yenye mamlaka kamili kwenye Ujasusi na intelligence
Kule gaza wanatumia nn mkuu,TISS ya huko au military intelligence
 
Kwa umelipa Mfanyakazi wako Wa ndani Leo Tarehe 12 mwezi ujao unategemea umlipe tarehe ngapi?
Tarehe 30 au tarehe 12..
Ukimlipa Tarehe 30 mwezi ujao utakuwa Sawa..?
Namlipaje leo tarehe 12 wakati alianza kazi tarehe 1?, kwa msingi upi hasa?
 
Back
Top Bottom