Kwa hiyo umeshindwa kujibu?Sasa hicho mkuu si hta mwanasheria anaweza kujibu kutoka na mIongozo na sheria..
Dah umeniangusha sna kwa hilo swali ambalo liko wide hata mtu ambaye anakaa vijiweni (Vile vijiww vyenye facts lakini) anaweza kuelezea
Haya nenda kasome Sheria ya Tanzania intelligence and security service Act, utapata mwanga