Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Kuna,watu wanakuheshimu hapa jamvini tafadhali tunza,heshima yako

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Sio mikataba yote huanza Tarehe 1 mkuu Nenda jikite kwenye kuelewa zaidi utaelewa
Mikataba ya serikali ya ajira huwa inaanza tarehe yeyote tu mtu anayojisikia?, hakuna mwongozo wa tarehe maalum ya kuanza mkataba wa ajira? Hebu niwekee mkataba mmoja tu wa ajira amabo unasema mkataba utaanza kutumika tarehe 2 , au 3 au 4..etc.
 
Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Mikataba ya serikali ya ajira huwa inaanza tarehe yeyote tu mtu anayojisikia?, hakuna mwongozo wa tarehe maalum ya kuanza mkataba wa ajira? Hebu niwekee mkataba mmoja tu wa ajira amabo unasema mkataba utaanza kutumika tarehe 2 , au 3 au 4..etc.
🆔 Yako ni kongwe ila una ujinga mwingi mnoo.. hutaki kujifunza wala unacho elimishwa huelewi. Unataka tukuwekee barua za ajira hapa? Mimi binafsi barua yangu ya mkataba wa ajira ni tar 19/02/201-
 
Barua ya ajira au mkataba wa ajira? Weka huo mkataba, ficha details kisha weka tarehe tu ya kuanza mkataba, tuone mkataba unaonza tarehe 19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…