Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Mwanzo wa kuanza kazi ni ule ulioainishwa kwenye mkataba, bila kujali umeanza kazi tarehe 2 au 3 au 4, haijalishi, bali kinachoangaliwa ni kwenye mkataba wa ajira, na kwenye mikataba tarehe ya kuanza kazi ni tafehe 1. Sasa kwanini ulipwe tarehe 22 badala ya 30?
Kuna,watu wanakuheshimu hapa jamvini tafadhali tunza,heshima yako

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Sio mikataba yote huanza Tarehe 1 mkuu Nenda jikite kwenye kuelewa zaidi utaelewa
Mikataba ya serikali ya ajira huwa inaanza tarehe yeyote tu mtu anayojisikia?, hakuna mwongozo wa tarehe maalum ya kuanza mkataba wa ajira? Hebu niwekee mkataba mmoja tu wa ajira amabo unasema mkataba utaanza kutumika tarehe 2 , au 3 au 4..etc.
 
🆔 Yako ni kongwe ila una ujinga mwingi mnoo.. hutaki kujifunza wala unacho elimishwa huelewi. Unataka tukuwekee barua za ajira hapa? Mimi binafsi barua yangu ya mkataba wa ajira ni tar 19/02/201-
 
Barua ya ajira au mkataba wa ajira? Weka huo mkataba, ficha details kisha weka tarehe tu ya kuanza mkataba, tuone mkataba unaonza tarehe 19
 
Back
Top Bottom