Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Ulisha acha kazi?

 
Kwa Kaz gani wannafanya wanashinda makambini tu na Kisha kwema kuwapiga kina genta kawe ukwamani
Kwakuwa unaishi kwa Raha ukiwa kwako we unajua Off the the ground kuna kipi kinatokea?
Unajua hata Kipi kimezuiwa na kipi kinatekelezwa?
Unajua kuna operation ngapi zinafanyika kunusuru Nchi?
Au kwakuwa ziko Undercover ndo imekuwa sababu ya kashfa..
 
HIV Ni lini serekali imepitisha mwezi bila kuwalipa watumishi wake

Yaani siku Moja tu imepita taayri umeanzisha Uzi

Embu tulia mshahara wako utapa bhna
Mwezi Jana...

Mshahara mwezi wa 10 ulilipwa Tarehe 26 wakati mshahara mwezi wa tisa ulilipwa Tarehe 22...
So ni discrepacy na interval ya siku 4 nzima baada ya tarehe 30..

Ingekuwa wanalipa Tarehe 30..
Kwa mwezi wenye siku 30 tungehesabu watumishi walipewa Mshahara tarehe 4... Mwezi uliofuata..

Na ingekuwa ni mwezi wa 31..
Tungehesabu walilipwa Tarehe 3 mwezu uliofuata...

Mbona Vichwa vyenu vinashindwa kung'amua Hesabu ndogo ya Kujumlisha na kutoa
 
Tayari nimeacha kazi kitambo
 
Ulilipwa 24th last month...
Shida hamna. Subiri kesho.
 
Je, hii iwe kama alarm kwa watumishi kwamba lolote linaweza kutokea mbele yao?
Pay Master ni mpya anajitahidi amudu mazingira au kapu liko na changamoto?
Kumbuka mwezi uliopita tumelipa Bil 300+ kwenye kesi tuliyoshindwa ughaibuni nadhani ndicho chanzo hata October mishahara kulipwa kwa mafungumafungu
 
Kuna mwaka fulani tarehe 21 ya mwezi iliangukia Jumapili wakalipa tarehe 19 Ijumaa nadhani ilikuwa enzi za mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…