Hii Chenga Kitaalam inaitwaje?

Hii Chenga Kitaalam inaitwaje?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hatimae yule beki overrated amepigwa chenga ya aina yake.

Je wataalam wa soka, hii chenga inaitwaje?
IMG_20191003_102637.jpeg
 
Eti beki overrated, mzee chuki zitakuua. Leta huyo beki wako unayemwona wewe alikuwa bora kuliko VVD mwaka jana. Kwa ulaya na dunia nzima. Leta stats zako hapa. Wote huko FIFA na UEFA hawakuona hao wengine? [emoji23] [emoji23] hata kitendo cha kupost akipigwa chenga ni dhahiri imekuwa breaking news maana si kawaida.
 
Usichukulie kila kitu siriaz mkuu, hapa tunafurahisha genge tu.
 
Back
Top Bottom