Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hatimae yule beki overrated amepigwa chenga ya aina yake.
Je wataalam wa soka, hii chenga inaitwaje?
Je wataalam wa soka, hii chenga inaitwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemshangaa kweli huyu jamaa [emoji23] [emoji23] kuna mtu hapigwi chenga?Kawaida kwenye soka..Gaucho alipigwa kanzu na Zizzou World Cup 2006
Usichukulie kila kitu siriaz mkuu, hapa tunafurahisha genge tu.Eti beki overrated, mzee chuki zitakuua. Leta huyo beki wako unayemwona wewe alikuwa bora kuliko VVD mwaka jana. Kwa ulaya na dunia nzima. Leta stats zako hapa. Wote huko FIFA na UEFA hawakuona hao wengine? [emoji23] [emoji23] hata kitendo cha kupost akipigwa chenga ni dhahiri imekuwa breaking news maana si kawaida.
Sauti haitoshi vizuriKwa magori aliyofungwa liver Jana , ni dhahiri huyo beki ni uchochoro
Hatimae yule beki overrated amepigwa chenga ya aina yake.
Je wataalam wa soka, hii chenga inaitwaje?View attachment 1222442
Zouma ndio mkali.Huyo beki ni wa ovyo sana...sifa alizipata kwenye kufunga sio kukaba
Huwezi kumweka kwenye kitabu kimoja na kina vidic, Terry
Zouma ndio mkali.
Hahaahhaa,, ila gaucho nayeKawaida kwenye soka..Gaucho alipigwa kanzu na Zizzou World Cup 2006
Siyo Gaucho Ni delimaKawaida kwenye soka..Gaucho alipigwa kanzu na Zizzou World Cup 2006