Hii Combination baina ya Mzee Kinana na Shaka ni dhahiri huu ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
1,381
Reaction score
1,600
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
IMG-20220904-WA0039.jpg

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea shamba la mbegu la Global Agency Farm lililopo Buchurago Bugorora wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera.
IMG-20220904-WA0038.jpg

Akiwa shambani hapo, Kanali Mstaafu Kinana alishuhudia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika uandaaji wa mbegu bora za mahindi ukiwa utekelezaji wa Ilani ya Uchagu ya CCM.
IMG-20220904-WA0040.jpg

Pichani Kinana akiwa na viongozi wengine akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila wakiwa wamepanda kwenye
mtambo unaotumika kwa shughuli za kilimo katika shamba hilo.
IMG-20220904-WA0043.jpg

Kinana ambaye ameongozana na Shaka amehitimisha ziara yake mkoani Kagera na kuelekea mkoani Geita kendelea na ziara hiyo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
 
Upinzani wao wako bussy wanasaka katiba utadhani watu watakula katiba mpya, wananikerega Sana hao jamaa
 
Wakati Africa inaelekea kwenye coalitions government, nchi yangu imekata kona tena kuelekea kwenye utawala wa Chama kimoja, serikali bado haijaruhusu political parties kufanya siasa ni ccm tu inatumia nguvu za dola kuendesha siasa zao, let's level political field na watanzania waamue,kuna mtu alitufanya tuwe mazuzu nchi hii
 
Watu wanaodhani upinzani una mwisho basi wanajidanganya sana, pengine wanautazama upinzani kama vyama vya siasa pekee. Upinzani ni zaidi ya vyama vya siasa.

Ndani ya CCM humo pia kuna wapinzani wa serikali, wapo na wamekuwepo kila awamu.
 
Wakati CCM Inaendelea kujiweka karibu na wananchi kwa kuwasikiliza na kutatua kero mbalimbali , huku upinzani wapi bize na matusi na opotoshaji halafu ikifika 2025 watajikuta hawana sera Wala ajenda ya kuwashawishi wananchi kuwapigia kura, Hapo utaona wanavyomwafa matusi mitandaoni
 
Sema hivi; 'kwa akili zangu naona hii combination ya kinana na shaka itaua upinzani'!
Hii itatofautisha akili na uwezo wako mdogo wa kufikiri na akili kubwa za watu humu.
 
Wakati CCM Inaendelea kujiweka karibu na wananchi kwa kuwasikiliza na kutatua kero mbalimbali , huku upinzani wapi bize na matusi na opotoshaji halafu ikifika 2025 watajikuta hawana sera Wala ajenda ya kuwashawishi wananchi kuwapigia kura, Hapo utaona wanavyomwafa matusi mitandaoni
Kumbuka hii ccm ipo madarakani kwa miaka zaidi ya 60 sasa!
Yaani mtoto amezaliwa, akakuwa, akasoma, akamaliza, akaajiriwa na amestaafu tayari!
Lakini nchi bado ni maskini wa fikra, ufisadi
 
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
View attachment 2345082
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea shamba la mbegu la Global Agency Farm lililopo Buchurago Bugorora wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera.
View attachment 2345083
Akiwa shambani hapo, Kanali Mstaafu Kinana alishuhudia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika uandaaji wa mbegu bora za mahindi ukiwa utekelezaji wa Ilani ya Uchagu ya CCM.
View attachment 2345084
Pichani Kinana akiwa na viongozi wengine akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila wakiwa wamepanda kwenye
mtambo unaotumika kwa shughuli za kilimo katika shamba hilo.
View attachment 2345085
Kinana ambaye ameongozana na Shaka amehitimisha ziara yake mkoani Kagera na kuelekea mkoani Geita kendelea na ziara hiyo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Hawa wapinzani wana roho za paka kweli. Maana mwanzo wa mwisho wao umetangazwa mara chungu mzima lakini wapo pale pale.

Amandla...
 
Wakati CCM Inaendelea kujiweka karibu na wananchi kwa kuwasikiliza na kutatua kero mbalimbali , huku upinzani wapi bize na matusi na opotoshaji halafu ikifika 2025 watajikuta hawana sera Wala ajenda ya kuwashawishi wananchi kuwapigia kura, Hapo utaona wanavyomwafa matusi mitandaoni
Umepiga kwenye mshono jombaa
 
Kama Kombinesheni ya Magufuli, Mangula, Polepole, Wasira, Kikwete, Mkapa, Kinana, Mwigulu, Ndugai, Makamba Senior na Junior walishindwa kuua upinzani itakuwa hayo maigizo??

Wewe unazungumzia hizo ziara kuua upinzani wakati kuendesha serikali kumeshindwa kuua upinzani ndiyo hayo maigizo yaweze??
 
Back
Top Bottom