Hii Combination baina ya Mzee Kinana na Shaka ni dhahiri huu ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania

Huo upinzani wanaohangaika kuumaliza si ulimalizwa na hawa πŸ‘‡

 
Hiyo ndo level ya juu ya kufikiri ya baadhi yetu - kwamba kw kitendo cha kuona shamba la mbegu ndo mwisho wa upinzani ...duh!
 
Ila Tanzania kuendelea haitatokea hata iweje,......eti kanali mstaafu naye ni mwanachama kindaki ndaki wa siasa,.....sasa wanajeshi ambao ndio tulitegemea watailinda katiba,wao ndio wanaongoza kuvaa mashati ya kijani
 
Upinzani haufi kwa sababu Mzee Kinana na kijana wake wanapiga kampeni,sasa hapo si wanatembelea vitu na kupiga picha tu,hivyo wanavyotembelea vimekuwepo kwa zaidi ya miaka 7!sasa kipi kipya,zaidi ya matamko mara mkandarasi hivi au vile,hakuna kipya,hakuna tija,hakuna sera ya kuinua uchumi,nchi haijengwi kwa kutembea tembea tu na kuzurura nchi nzima,Kinana sio mchumi,anapiga porojo tu,
Watuonyeshe wameboresha nini?na wanachama wangapi wameama vyama vyao kujiunga na ccm,sio wale machawa wanaowaza kwa kutumia matumbo!
Vyama vya upinzani vinapigwa Kabali!havina uhuru wa kujiachia!!waruhusu vyama vya upinzani navyo vipige hizo maktime waone muziki,
Kinana ameishazeeka hawezi mziki wa ACT kiganjani,Wala Chadema digital!!
Uvccm imejaa machawa watupu,
 
 
vugu-vugu said:
Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.

Kume tozo imewawezesha kuzurura hovyo kiasi hicho, Watanzania twafaaaa!
 
Hili shamba ni la serikali au chama kimeamua kutembelea shamba la mtu binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…