Hii Coming 2 America sijaielewa...

Hii Coming 2 America sijaielewa...

Kwa jinsi nilivyokua naisubiri kwa hamu, sijafurahia nilichokiona. Hebu alieielewa anieleweshe inahusu nini..?
Tatzo eddy kakomaa kufanya production mwenyew kama alivyofanyaga ile ya kwanza.kasahau kwamba ameshazeeka..ilibid awape kaz kizaz kipya waifanye ki dot com zaid.sasa yeye kaleta ubongo muvi mule..kaweka watu wa ajabu ajabu..kiiukwel kaiharib comming to america1
 
Kwa jinsi nilivyokua naisubiri kwa hamu, sijafurahia nilichokiona. Hebu alieielewa anieleweshe inahusu nini..?
Kuna vitu vingi uwa vikijaribiwa kuendelezwa vinaharibiwa. Nlitaka kuishusha sasa nimeghairi nisije haribu bundle langu bure
 
Ni kweli mkuu. Yaani ukiiangalia hii muvi ni kama watu wamekurupushwa tu. Stori haina mvuto, matukio yanakatwa katwa, uigizaji wa kiwango cha chini na kiujumla hamna cha maana cha kukushtua kwenye hii muvi.
 
Au walikuwa wanajaribu kuchekesha zaidi hvyo wakasahau kuengeneza mtiririko wa story nzuri
 
Back
Top Bottom