Hii Coming 2 America sijaielewa...

Hii Coming 2 America sijaielewa...

Mm namkubaligi Rambo tu huko American movies. Kuna ile movie sijui wakanda alikuwepo na yule mdada mkenya bonge la promo nikaona niitafute, siku nimetulia kwenye Tv naona utopolo tu. Bora hata wazungu ukisikia Viking, Game of Throne unaona kabisa kitu chenyewe. Movie unaangalia haina mzuka hadi unatafuta ya kutafasiri ya dj Mark bado imepoa kama uji.
 
Nyie wa mikoa mingine mna raha sana.
Sie na Shambalai letu la Lushoto ni movie za Rambo na VanDamme mwanzo mwisho...akichoka anamuweka Rose Muhando, tukipumzika ni Koffi au Madilu...kamaliza ruti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah lol
 
Mimi nilijua peke yangu sijaielewa ...acha ipoe kwanza nitairudia wakati mwingine.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Taratibu utaielewa tu,kitu kikiwa kipya hasa kikifanyiwa ukarabati uliopitiliza mara nyingi mwanzoni kinakuwa hakina mvuto sana...
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Back
Top Bottom