Tatzo eddy kakomaa kufanya production mwenyew kama alivyofanyaga ile ya kwanza.kasahau kwamba ameshazeeka..ilibid awape kaz kizaz kipya waifanye ki dot com zaid.sasa yeye kaleta ubongo muvi mule..kaweka watu wa ajabu ajabu..kiiukwel kaiharib comming to america1Kwa jinsi nilivyokua naisubiri kwa hamu, sijafurahia nilichokiona. Hebu alieielewa anieleweshe inahusu nini..?
Ebu kwanza tupe mrejesho, Ni kweli nyimbo ya mondi ipo kwenye iyo muvi?
Kuna vitu vingi uwa vikijaribiwa kuendelezwa vinaharibiwa. Nlitaka kuishusha sasa nimeghairi nisije haribu bundle langu bureKwa jinsi nilivyokua naisubiri kwa hamu, sijafurahia nilichokiona. Hebu alieielewa anieleweshe inahusu nini..?
Ni kweli mkuu. Yaani ukiiangalia hii muvi ni kama watu wamekurupushwa tu. Stori haina mvuto, matukio yanakatwa katwa, uigizaji wa kiwango cha chini na kiujumla hamna cha maana cha kukushtua kwenye hii muvi.Kuna vitu vingi uwa vikijaribiwa kuendelezwa vinaharibiwa. Nlitaka kuishusha sasa nimeghairi nisije haribu bundle langu bure
Au walikuwa wanajaribu kuchekesha zaidi hvyo wakasahau kuengeneza mtiririko wa story nzuriNi kweli mkuu. Yaani ukiiangalia hii muvi ni kama watu wamekurupushwa tu. Stori haina mvuto, matukio yanakatwa katwa, uigizaji wa kiwango cha chini na kiujumla hamna cha maana cha kukushtua kwenye hii muvi.
Au walikuwa wanajaribu kuchekesha zaidi hvyo wakasahau kuengeneza mtiririko wa story nzuri
Daaaah siidownload labda niione kwa bahat mbayaππ. Ile ya kwanza ni classic movieHata ivyo vichekesho vyenyewe vipo sasa? Ni makelele tu kama bongo muvi π
Ipo, Tafuta Coming 2 America OSTHaipo
12 USD KUANGALIA MOVIE.. JEEEEZZZZYMbovu kweli. Kilichonipendeza ni mavazi tu na washiriki. Ila story mbaya sijaelewa kwa kweli. Nimepoteza 12$ za bure.
12 USD KUANGALIA MOVIE.. JEEEEZZZZY
ππππππ dadeqqqq πππππMbona wewe unatumia 100,000 kununua UKIMWI.
Hapana ipo Amazon Prime video..ila pia nimeiona kwenye telegram kwa magrup ya movie.Iko netflix?.
Mungu akijaalia ntaiona kwenye mabasi nikiwa nasafiriDaaaah siidownload labda niione kwa bahat mbayaππ. Ile ya kwanza ni classic movie