Hii dawa inatibu nini jamani

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Montelukast sodium 10g

Amepewa mtoto wa miezi saba. Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko tu poa haumwi wala nini.

Ila dokta bingwa kasema apewe hyo dawa

Nimegoogle ni ya asthma.na hajapimwa wala nini.is it necessary jameni mtoto apewe dawa Kali hivo for minor issues?
 
Wengi wa madaktari ni kama waganga wa kienyeji tu

Usikubali hata siku moja kuanza dose kabla ya vipimo vya uhakika

Tatizo hawataki kutumia vipimo au hakuna au vimeharibika

Hapo wanaona wabuni tu kihuni badala ya kusema hatuna vipimo nenda hospitali yenye vipimo

Wanauwa sana hawa watu
 
Ni muhimbili mkuu vipimo wanavo vya kutosha
 
Ni muhimbili mkuu vipimo wanavo vya kutosha
Kweli kabisa Muhimbili wako vizuri kwa sababu wanafunzi wa nje wanakuja na ni hospitali yetu kubwa nchini

Inatakiwa hata hospitali za mikoani wangekuwa hivyo ili kuokoa maisha ya wengi na pia kuwatibu watu kwa ufanisi mkubwa zaidi
 
Usimpe kama sio serious issue,nunua mycolin syrup ya watoto,alafu mtoto mdogo usipende kumpa dawa kama haoneshi dalali za hatari
 
Madokta wa watoto sahv wengi longolongo...
Mtoto wangu nlipokuwa nampeleka clinic kwa Dr masawe alikuwa habatishi,alikuwa anajuwa bana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…