Hii dawa inatibu nini jamani

Hii dawa inatibu nini jamani

Mtu ametoka kuvurugwa na mchepuko huko anakutolea dawa yoyote tu Bora ata wew umesita
 
Mimi dawa yoyote lazima niisome Kwanza nijue Hadi side effects zake
Na kwa mtoto Hadi naonja yaani
 
Alikuwa anajuwa....yule ni dr
Hawa ma dr wa sahv wa ju Google

Ova
Hivi kwanini madaktari wengi huwa wanagoogle?
Akiwa anamsikiliza mgonjwa anakuwa anacheki kwenye computer niliona masan na rabininsia
 
Uwezo mdogo......
Kama ulibatika kukutana na madokta nguli na ukikutana
Na madokta wa sasa..tofauti iko kubwa sana

Ova
 
Mtoto chini ya mwaka asali haitakiwi mama mkwe.ni sumu
Sisi tumelambishwa asali na tunalambisha watoto zetu kuanzia tu wachanga kabisa.

Kila sehemu na namna zao. Ni wazo tu, kama una wasiwasi nalo usifanye.
 
Asali ya sasa na ya zamani pia tofauti mama mkwe.ila siku hizi wanakataza kabisa
 
Kifua hicho unamlambisha asali mbichi, kidogo tu, kutwa mara moja.
mekumic siku hizi huipiganii tena dini ya mwenyezi Mungu ..nilikua nazisoma sana nukuu zako na kuzitafakari kwa mapana yake ,japokuwa zingine huwa zina ukakasi mwingi sana
 
Montelukast sodium 10g

Amepewa mtoto wa miezi saba

Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko Tu poa haumwi wala nini

Ila dokta bingwa kasema apewe hyo dawa

Nimegoogle ni ya asthma.na hajapimwa wala nini.is it necessary jameni mtoto apewe dawa Kali hivo for minor issues?

Kwamba daktari hakutumia hata stethoscope?
 
Montelukast sodium 10g

Amepewa mtoto wa miezi saba

Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko Tu poa haumwi wala nini

Ila dokta bingwa kasema apewe hyo dawa

Nimegoogle ni ya asthma.na hajapimwa wala nini.is it necessary jameni mtoto apewe dawa Kali hivo for minor issues?

Daktari yuko sahihi na hasa kama unasema alitumia stethoscope kumsikiliza. Watoto wa umri huu wanakuwa na hali inaitwa bronchiolitis(kututumka kwenye njia ya hewa). Dawa hii inatumika kurejesha njia ya hewa kwenye hali yake ya kawaida na inaruhusiwa kutumika kwenye umri kuanzia miezi 6 (Asthma, allergy vs bronchiolitis).

Dawa za maji za vikohozi na mafua si nzuri kutumika kwa watoto chini ya miaka miwili/inahitaji tahadhari sana, kwani zina asili ya kemikali zenye kuleta ulevi/alcohol like, hivyo kuingilia mfumo wa ukuaji na maendeleo ya ubongo. Hatima yake ni kuwa na watoto wasio na utulivu kiakili. Kwa kuwa vikohozi hutokea mara nyingi ndani ya muda wa makuzi ya watoto, basi huwa wanatumia dawa hizi.mara kwa mara na kuwa na watoto wasio wasikivu na wazingativu.
 
mekumic siku hizi huipiganii tena dini ya mwenyezi Mungu ..nilikua nazisoma sana nukuu zako na kuzitafakari kwa mapana yake ,japokuwa zingine huwa zina ukakasi mwingi sana
Sijawahi kupigania dini, nalingania tu.
 
Asali ya sasa na ya zamani pia tofauti mama mkwe.ila siku hizi wanakataza kabisa
Siku hizi wanakataza hata watoto kupewa maji.

Sisi wetu tunawalambisha asali na tunawapa matone ya maji kuanzia wachanga kabisa.

AlhamduliLlah wapo salama salmini.
 
Kwamba Pediatrician atibu mtoto kwa kutegemea google.
HIi si kweli.

Labda Genereal Practitioner( na sababu yeye ni General).

Ndio maana inatakiwa kama Taifa tupambane tupate madaktari bingwa hadi kwenye primary level.
Hii ya kutegemea MD iondoke kabisa.

Mtu hawezi kutibu mzee mwenye stroke, hapohapo atibu na mtoto mwenye pneumonia, baadae kidogo aje bodaboda na fracture.
Lazima kuna kuchanganya kuwepo, ndio maana baadhi yao wanajikuta wana ingia google.
SAbabu katika mazingira hayo accuracy inashuka.
 
Daktari yuko sahihi na hasa kama unasema alitumia stethoscope kumsikiliza. Watoto wa umri huu wanakuwa na hali inaitwa bronchiolitis(kututumka kwenye njia ya hewa). Dawa hii inatumika kurejesha njia ya hewa kwenye hali yake ya kawaida na inaruhusiwa kutumika kwenye umri kuanzia miezi 6 (Asthma, allergy vs bronchiolitis).

Dawa za maji za vikohozi na mafua si nzuri kutumika kwa watoto chini ya miaka miwili/inahitaji tahadhari sana, kwani zina asili ya kemikali zenye kuleta ulevi/alcohol like, hivyo kuingilia mfumo wa ukuaji na maendeleo ya ubongo. Hatima yake ni kuwa na watoto wasio na utulivu kiakili. Kwa kuwa vikohozi hutokea mara nyingi ndani ya muda wa makuzi ya watoto, basi huwa wanatumia dawa hizi.mara kwa mara na kuwa na watoto wasio wasikivu na wazingativu.
Shukrani sana.kwa maelezo haya nampa
 
Kwamba Pediatrician atibu mtoto kwa kutegemea google.
HIi si kweli.

Labda Genereal Practitioner( na sababu yeye ni General).

Ndio maana inatakiwa kama Taifa tupambane tupate madaktari bingwa hadi kwenye primary level.
Hii ya kutegemea MD iondoke kabisa.

Mtu hawezi kutibu mzee mwenye stroke, hapohapo atibu na mtoto mwenye pneumonia, baadae kidogo aje bodaboda na fracture.
Lazima kuna kuchanganya kuwepo, ndio maana baadhi yao wanajikuta wana ingia google.
SAbabu katika mazingira hayo accuracy inashuka.
Mkuu Kwanza sijasema alogoogle ni dokta wa watoto.
Me mwanangu anatibiwa hosptal moja tu toka azaliwe
 
Siku hizi wanakataza hata watoto kupewa maji.

Sisi wetu tunawalambisha asali na tunawapa matone ya maji kuanzia wachanga kabisa.

AlhamduliLlah wapo salama salmini.
Maji hayana kirutubisho chochote ni kuchosha Tu figo
Nilinyonyesha miezi sita net
Maziwa yana maji sana..yanatosha
 
Back
Top Bottom