SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
hawaruhusiwi hadi wawe miaka 5Kifua hicho unamlambisha asali mbichi, kidogo tu, kutwa mara moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawaruhusiwi hadi wawe miaka 5Kifua hicho unamlambisha asali mbichi, kidogo tu, kutwa mara moja.
Nani aliyesema hilo?hawaruhusiwi hadi wawe miaka 5
Moja ya kitu ambacho jamii inatakiwa kuelewa ni: mtoa huduma mzuri ni yule ambaye hufanya rejea/reference. Na si tu kufanya rejea bali rejea kwenye vyanzo sahihi/reputable sources. Kiasi cha kufanya rejea pia hutegemea na experience. Na ni ruhusa kufanya rejea hasa wakati huu ambapo taarifa zinapatikana kirahisi.Hivi kwanini madaktari wengi huwa wanagoogle?
Akiwa anamsikiliza mgonjwa anakuwa anacheki kwenye computer niliona masan na rabininsia
Asali si njema kwa watoto chini ya mwaka mmoja. Asali inabeba bakteria ndani yake, amabao huweza kusabanisha maambukizi kwenye tumbo la mtoto mchanga kutokana na upya wa tumbo husika, inaitwa infant botulism.Nani aliyesema hilo?
Lakini kumkandamiza kijiko cha brandy hakuna neno?
Ooooh!Daktari yuko sahihi na hasa kama unasema alitumia stethoscope kumsikiliza. Watoto wa umri huu wanakuwa na hali inaitwa bronchiolitis(kututumka kwenye njia ya hewa). Dawa hii inatumika kurejesha njia ya hewa kwenye hali yake ya kawaida na inaruhusiwa kutumika kwenye umri kuanzia miezi 6 (Asthma, allergy vs bronchiolitis).
Dawa za maji za vikohozi na mafua si nzuri kutumika kwa watoto chini ya miaka miwili/inahitaji tahadhari sana, kwani zina asili ya kemikali zenye kuleta ulevi/alcohol like, hivyo kuingilia mfumo wa ukuaji na maendeleo ya ubongo. Hatima yake ni kuwa na watoto wasio na utulivu kiakili. Kwa kuwa vikohozi hutokea mara nyingi ndani ya muda wa makuzi ya watoto, basi huwa wanatumia dawa hizi.mara kwa mara na kuwa na watoto wasio wasikivu na wazingativu.
Fani ya udaktari ni zaidi ya huo uwezo wako wa kustudy google... penda kuwaamini madakitari ili iwe rahisi kusaidika. Kujua mtoto ana dalili za athma ni jambo la observation tu na wala aihitajiki xrayNawaza sana.sina Amani na hii dawa yani.
Nikipewa dawa lazima niistudy
Nyinyi bakini hivyo hivyo, sisi watotp zetu tunawalambisha asali.Asali si njema kwa watoto chini ya mwaka mmoja. Asali inabeba bakteria ndani yake, amabao huweza kusabanisha maambukizi kwenye tumbo la mtoto mchanga kutokana na upya wa tumbo husika, inaitwa infant botulism.
Tunajifunza mkuu.nashukuru Leo nimejua mengi.bora kuulizaHiyo dawa anapewa mtoto kama ni kifua kinacholetwa na allergy ya kitu fulani mfano maziwa ya kopo au unga wa lishe
So dokta yuko sahihi hata wangu huwa wanatumia
Hiyo dawa haina shida kabisa tena ni bora zaidi kuliko zile syrup!
Umepata somo mwenzangu eehOoooh!
Shukrani kwa ufafanuzi mtaalamuMoja ya kitu ambacho jamii inatakiwa kuelewa ni: mtoa huduma mzuri ni yule ambaye hufanya rejea/reference. Na si tu kufanya rejea bali rejea kwenye vyanzo sahihi/reputable sources. Kiasi cha kufanya rejea pia hutegemea na experience. Na ni ruhusa kufanya rejea hasa wakati huu ambapo taarifa zinapatikana kirahisi.
Naelewa wagonjwa wengi hupata wasiwasi wanapoona hili. Cha msingi huwa ni kuelewa lengo la mtoa huduma kufanya rejea, kwani tunasema huduma ya afya ni pana na hubadilika kila siku. Magonjwa ni mengi kuna mfanano wa dalili, kuna aina ya dawa na zina athari tofauti pia dozi za dawa mbalimbali. Hivyo, hapa ni kuhakiki unachokifanya ni sahihi zaidi.
Kama mtoa huduma amekusikiliza vyema, kakagua mgonjwa na kuelewa msingi wa mazungumzo kwa kadri ya taratibu na akafanya rejea, hapo sioni shida. Kwani utapewa huduma sahihi.
Ila kama ukisikilizwa na mtoa huduma akashindwa kujenga hoja ya shida zako/yako au kukosa uelekeo wa shida yako, hapo ni tatizo.
Hivyo, kwa kuwa wengi huwa hatujui ni nini hasa mtoa huduma anafanya rejea ni vyema kuongea vizuri ili kujua hali ya mtoa huduma wako anacho chochote amepata kutokana na mazungumzo yenu na atakusaidia vipi? Chukua muda wako kuongea na mtoa huduma wako kwani umelipia muda huo. Hii itakupa uelewa wa jinsi unavyoenda kusaidika kwa vipimo, dawa, tiba na ushauri toka kwake.
SukariNyinyi bakini hivyo hivyo, sisi watotp zetu tunawalambisha asali.
Binadam tunabeba bakteria wa kila aina na mwili hauwezi kutengeza kinga ya bakteria bili kuwa na hao bakteria.
Ndiooo! Maana hizo dawa za maji tunawanywesha sana watoto bila kujua.Umepata somo mwenzangu eeh
Sio nzuri zinasababisha hata Meno kuoza.Ndiooo! Maana hizo dawa za maji tunawanywesha sana watoto bila kujua.