Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #21
Nasikia alikuwa fire fireMadokta wa watoto sahv wengi longolongo...
Mtoto wangu nlipokuwa nampeleka clinic kwa Dr masawe alikuwa habatishi,alikuwa anajuwa bana
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia alikuwa fire fireMadokta wa watoto sahv wengi longolongo...
Mtoto wangu nlipokuwa nampeleka clinic kwa Dr masawe alikuwa habatishi,alikuwa anajuwa bana
Ova
Alikuwa anajuwa....yule ni drNasikia alikuwa fire fire
😄Mtu ametoka kuvurugwa na mchepuko huko anakutolea dawa yoyote tu Bora ata wew umesita
Mimi dawa yoyote lazima niisome Kwanza nijue Hadi side effects zakeMtu ametoka kuvurugwa na mchepuko huko anakutolea dawa yoyote tu Bora ata wew umesita
Hivi kwanini madaktari wengi huwa wanagoogle?Alikuwa anajuwa....yule ni dr
Hawa ma dr wa sahv wa ju Google
Ova
Uwezo mdogo......Hivi kwanini madaktari wengi huwa wanagoogle?
Akiwa anamsikiliza mgonjwa anakuwa anacheki kwenye computer niliona masan na rabininsia
Sisi tumelambishwa asali na tunalambisha watoto zetu kuanzia tu wachanga kabisa.Mtoto chini ya mwaka asali haitakiwi mama mkwe.ni sumu
Asali ya sasa na ya zamani pia tofauti mama mkwe.ila siku hizi wanakataza kabisaSisi tumelambishwa asali na tunalambisha watoto zetu kuanzia tu wachanga kabisa.
Kila sehemu na namna zao. Ni wazo tu, kama una wasiwasi nalo usifanye.
mekumic siku hizi huipiganii tena dini ya mwenyezi Mungu ..nilikua nazisoma sana nukuu zako na kuzitafakari kwa mapana yake ,japokuwa zingine huwa zina ukakasi mwingi sanaKifua hicho unamlambisha asali mbichi, kidogo tu, kutwa mara moja.
Nimejifunza ukiwahoji manesi na wahmganga wetu utagundua tunapewa mataputapuHosp za bongo bhana. pengine umepewa hizo dawa ili kuondoa jam hapa Hospitalini..
Montelukast sodium 10g
Amepewa mtoto wa miezi saba
Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko Tu poa haumwi wala nini
Ila dokta bingwa kasema apewe hyo dawa
Nimegoogle ni ya asthma.na hajapimwa wala nini.is it necessary jameni mtoto apewe dawa Kali hivo for minor issues?
Alitumia mkuuKwamba daktari hakutumia hata stethoscope?
Montelukast sodium 10g
Amepewa mtoto wa miezi saba
Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko Tu poa haumwi wala nini
Ila dokta bingwa kasema apewe hyo dawa
Nimegoogle ni ya asthma.na hajapimwa wala nini.is it necessary jameni mtoto apewe dawa Kali hivo for minor issues?
Sijawahi kupigania dini, nalingania tu.mekumic siku hizi huipiganii tena dini ya mwenyezi Mungu ..nilikua nazisoma sana nukuu zako na kuzitafakari kwa mapana yake ,japokuwa zingine huwa zina ukakasi mwingi sana
Siku hizi wanakataza hata watoto kupewa maji.Asali ya sasa na ya zamani pia tofauti mama mkwe.ila siku hizi wanakataza kabisa
Shukrani sana.kwa maelezo haya nampaDaktari yuko sahihi na hasa kama unasema alitumia stethoscope kumsikiliza. Watoto wa umri huu wanakuwa na hali inaitwa bronchiolitis(kututumka kwenye njia ya hewa). Dawa hii inatumika kurejesha njia ya hewa kwenye hali yake ya kawaida na inaruhusiwa kutumika kwenye umri kuanzia miezi 6 (Asthma, allergy vs bronchiolitis).
Dawa za maji za vikohozi na mafua si nzuri kutumika kwa watoto chini ya miaka miwili/inahitaji tahadhari sana, kwani zina asili ya kemikali zenye kuleta ulevi/alcohol like, hivyo kuingilia mfumo wa ukuaji na maendeleo ya ubongo. Hatima yake ni kuwa na watoto wasio na utulivu kiakili. Kwa kuwa vikohozi hutokea mara nyingi ndani ya muda wa makuzi ya watoto, basi huwa wanatumia dawa hizi.mara kwa mara na kuwa na watoto wasio wasikivu na wazingativu.
Mkuu Kwanza sijasema alogoogle ni dokta wa watoto.Kwamba Pediatrician atibu mtoto kwa kutegemea google.
HIi si kweli.
Labda Genereal Practitioner( na sababu yeye ni General).
Ndio maana inatakiwa kama Taifa tupambane tupate madaktari bingwa hadi kwenye primary level.
Hii ya kutegemea MD iondoke kabisa.
Mtu hawezi kutibu mzee mwenye stroke, hapohapo atibu na mtoto mwenye pneumonia, baadae kidogo aje bodaboda na fracture.
Lazima kuna kuchanganya kuwepo, ndio maana baadhi yao wanajikuta wana ingia google.
SAbabu katika mazingira hayo accuracy inashuka.
Maji hayana kirutubisho chochote ni kuchosha Tu figoSiku hizi wanakataza hata watoto kupewa maji.
Sisi wetu tunawalambisha asali na tunawapa matone ya maji kuanzia wachanga kabisa.
AlhamduliLlah wapo salama salmini.