Hii Derby haina kipengele labda kipengele uje nacho wewe. Simba wameamua kuja na kipengele chao

Hii Derby haina kipengele labda kipengele uje nacho wewe. Simba wameamua kuja na kipengele chao

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
14,938
Reaction score
25,405
Vibaby boy, last born, drama queens, leo vimethibitisha rasmi hawa watoto wanapenda sana kuonewa huruma na kutafuta sababu tu ili mradi watu wawaonee huruma. Unasusia derby ili iweje wewe?

Kwamba wiki nzima hukujiandaa na mechi kisa mazoezi ya siku ya mwisho ndio ususe mechi. Nawaonea huruma kuanzia viongozi, wachezaji mpaka mashabiki wa hii timu. Sisi tunapeleka timu Lupaso na tunawataka uwanjani sa 1
 

Attachments

  • Screenshot_20250308_062817_Instagram.jpg
    Screenshot_20250308_062817_Instagram.jpg
    322.9 KB · Views: 1
Kama timu inayoalikwa inaweza kufanya mazoezi ktk uwanja angalao siku Moja kabla kwa mujibu wakanuni za TFF mbona Ina maana wangeweza kufanya hata siku mbili au Tatu kabla. Kama saa kadhaa imeshindikana sababu zipo wanalalamaje?
Hiyo ni kujitafutiza visababu ili mradi kukimbia mchezo. Mwisho ionekane Yanga ndio sababu ya haya yote.
 
Na meneja wa uwanja hakuwa na hiyo taarifa kwasababu sio jadi yao Simba au Yanga kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja unaotumika kwa mechi husika. Simba wametengeneza mazingira ya kukimbia mechi
Kikanuni ni haki yao kufanya mazoezi sahihi kabisa. Lakini inayotia shaka ni kuja na mabasi mawili moja la wachezaji na benchi la ufundi, lingine la wazee. Hawa wazee wanakuja kufanya nini mazoezi ya usiku? Haya hapohapo eti unasusia mechi ili iweje?
 
Wajinga wengi wa aina yako ni mtaji mkubwa sana wa chama tawala.
 
Back
Top Bottom