Hii Derby haina kipengele labda kipengele uje nacho wewe. Simba wameamua kuja na kipengele chao

Hii Derby haina kipengele labda kipengele uje nacho wewe. Simba wameamua kuja na kipengele chao

Mechi ichezwe saa 1:15 timu iende saa 3 usiku 😂😂😂. Tutawapiga hata wakiwa kambini. Kanuni zipo wazi hata kama umezuia kufanya mazoez I huwezi kugomea mchezo .....utaratibu wa kikanuni utafuatwa na wahusika kuadhibiwa. Simba acheni uongo njooni uwanjani 😂😂 matambo mengi kumbe bure.
 
Wewe umeona hilo tu. Njooni uwanjani tucheze mpira unasusia ili iweje?
Uto msiingie mkenge mkaacha kupeleka timu Lupaso.
Kuna mwaka kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu walikubaliana wasipeleke timu baada ya kutofautiana na CECAFA kuhusu mgao wa gate collection.
Uto hakupeleka timu Kolo likaingiza timu.
Kolo akapata ushindi wa chee, Uto akapata adhabu ya faini na kufungiwa miaka 3.
You guy be careful.
 
Hayo mambo kwa sasa hayapo. Huko tulishatoka kitambo na kitu kama hicho hakiwezi kujitokeza kwa timu ya Yanga. Kwanza tusipeleke timu tuna kipengele gani?
 
Attachments

  • Screenshot_20250308_082633_Instagram.jpg
    Screenshot_20250308_082633_Instagram.jpg
    434.9 KB · Views: 1
Kikanuni ni haki yao kufanya mazoezi sahihi kabisa. Lakini inayotia shaka ni kuja na mabasi mawili moja la wachezaji na benchi la ufundi, lingine la wazee. Hawa wazee wanakuja kufanya nini mazoezi ya usiku? Haya hapohapo eti unasusia mechi ili iweje?
Kanuni zinasemaje kuhusu wazee? Kwanini hawakuzuiwa wazee timu ikaruhusiwa kama kweli walikuwepo na kanuni haziruhusu? Anyway, mada kama hizi ushabiki utatawala.
 
Kanuni zinasemaje kuhusu wazee? Kwanini hawakuzuiwa wazee timu ikaruhusiwa kama kweli walikuwepo na kanuni haziruhusu? Anyway, mada kama hizi ushabiki utatawala.
Ndio ususie mechi?
 
Mechi ichezwe saa 1:15 timu iende saa 3 usiku 😂😂😂. Tutawapiga hata wakiwa kambini. Kanuni zipo wazi hata kama umezuia kufanya mazoez I huwezi kugomea mchezo .....utaratibu wa kikanuni utafuatwa na wahusika kuadhibiwa. Simba acheni uongo njooni uwanjani 😂😂 matambo mengi kumbe bure.
Kanuni inataka muda ule ule wa mchezo.
Kama walienda saa 3 usiku hapo wamepuyanga.
Lakini kama walienda ndani ya muda busara ilikua kuruhusu basi la wachezaji na benchi lao la ufundi pamoja na viongozi wao waandamizi , hao vibabu na vichinjwa vyao ndio vingepigwa stop.
Au busara zaidi wangeruhusiwa wote, halafu ikifika saa SITA na sekunde Moja usiku wafurushwe maana siku imeisha then Yanga wau NEUTRILIZE uwanja kwa njia wanazozijua wao, iwe kisomo, upako au njia hizo hizo zilizotumika kuunajisi uwanja
 
Kiukweli simba leo hawana hoja tukiacha ushabiki, ingawa bado mapema ngoja paendelee kukucha tutashuhudia mengi, ila yanga washatangaza kupeleka timu
 
Hayo mambo kwa sasa hayapo. Huko tulishatoka kitambo na kitu kama hicho hakiwezi kujitokeza kwa timu ya Yanga. Kwanza tusipeleke timu tuna kipengele gani?
Si mnaweza uhadaika wenzetu hawaendi sisi tunaenda kufanya nini
 
kwamba wewe una akili sana kuliko FIFA na CAF walioweka utaratibu huo?
Soma na ujibu kwa kuelewa wewe usikurupuke. Pitia hata comment nyingine. Hoja yangu ni kuwa kwanini ususie mechi kisa umeshindwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mechi husika. Sababu ya kususia iko wapi hapo?
 
Soma vizuri, wameenda saa moja, wamefight kuingia, wakaondoka saa tatu. Ni vyema kuwa na taarifa kabla ya kupublish, vinginevyo utajiexpose
Niliquote posti iliosema wamefika saa tatu.
Na inaonyesha hujui neno "kama " kama lilivyotumika kwenye hiyo post.
 
Au busara zaidi wangeruhusiwa wote, halafu ikifika saa SITA na sekunde Moja usiku wafurushwe maana siku imeisha then Yanga wau NEUTRILIZE uwanja kwa njia wanazozijua wao, iwe kisomo, upako au njia hizo hizo zilizotumika kuunajisi uwanja

Mkuu umeongea kama vile uwanja una milikiwa na uongozi wa Yanga, huo uwanja upo chini ya usimamizi wa taasisi nyingine hata Yanga wenyewe wasingekuwa na kibali cha kuingia saa saba usiku kwaajili ya ku neutralize huo uwanja. Uwanja sio wa Yanga hata kama yeye ndiye mwenyeji wa mchezo
 
Ndio ususie mechi?
Ndio, kama nimeshaona kuna mazingira ya kushindwa kwa sababu zisizo za kiufundi sichezi.
Huna cha kupoteza maana kama nimekosea mtapewa hizo p3 ambazo zinahitajika kwa nguvu mpaka utaratibu wa kawaida unazuiwa kwa figisu. NO REFORM NO DERBY.
 
Niliquote posti iliosema wamefika saa tatu.
Na inaonyesha hujui neno "kama " kama lilivyotumika kwenye hiyo post.
Kuweka neno 'kama' maana yake hauna uhakika. Sasa haraka ya nini ya kupost wakati habari zimejaa tele ambazo ungepata uhakika kwanza?
 
Back
Top Bottom