Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
- Thread starter
- #41
Mkuu hizi dalili za kushindwa. Mshindani yoyote hawezi kufa kizembe namna hii najua hata viongozi wako huko watakua wanajutia na kile kilichobandikwa kususia mechi.Ndio, kama nimeshaona kuna mazingira ya kushindwa kwa sababu zisizo za kiufundi sichezi.
Huna cha kupoteza maana kama nimekosea mtapewa hizo p3 ambazo zinahitajika kwa nguvu mpaka utaratibu wa kawaida unazuiwa kwa figisu. NO REFORM NO DERBY.