Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Wanaogopa KONO LA NYANI.Soma kwa umakini
Na walikuja na vizee vyao. HahaaaaaWiki nzima mlikua mnafanya nini? Au maelekezo ya mganga alisema dozi itamaliziwa Lupaso siku moja kabla ya mchezo?
Shame shame shame
haujui MpiraWiki nzima mlikua mnafanya nini? Au maelekezo ya mganga alisema dozi itamaliziwa Lupaso siku moja kabla ya mchezo?
Shame shame shame
Mazoezi ya mwisho unakuja uwanjani na wazee kufanya nini?N
Na walikuja na vizee vyao. Hahaaaaa
Wewe unayejua mpira una maoni gani juu ya kuja mazoezini na wazee umejaza basi zima siku moja kabla ya mchezohaujui Mpira
Funga Kopo tu
Hiyo ni kujitafutiza visababu ili mradi kukimbia mchezo. Mwisho ionekane Yanga ndio sababu ya haya yote.Kama timu inayoalikwa inaweza kufanya mazoezi ktk uwanja angalao siku Moja kabla kwa mujibu wakanuni za TFF mbona Ina maana wangeweza kufanya hata siku mbili au Tatu kabla. Kama saa kadhaa imeshindikana sababu zipo wanalalamaje?
Hovyo kabisaHawa simba ni hovyo sana
Wewe umeona hilo tu. Njooni uwanjani tucheze mpira unasusia ili iweje?Pale mashabiki wa "rede" wanapochambua football.
...."meneja wa uwanja alitia Rock...."-Hans Raphael
Na meneja wa uwanja hakuwa na hiyo taarifa kwasababu sio jadi yao Simba au Yanga kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja unaotumika kwa mechi husika. Simba wametengeneza mazingira ya kukimbia mechiSoma kwa umakini
Kikanuni ni haki yao kufanya mazoezi sahihi kabisa. Lakini inayotia shaka ni kuja na mabasi mawili moja la wachezaji na benchi la ufundi, lingine la wazee. Hawa wazee wanakuja kufanya nini mazoezi ya usiku? Haya hapohapo eti unasusia mechi ili iweje?Na meneja wa uwanja hakuwa na hiyo taarifa kwasababu sio jadi yao Simba au Yanga kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja unaotumika kwa mechi husika. Simba wametengeneza mazingira ya kukimbia mechi
Kama ambavyo wewe ulivyo mtaji kwa Mangungu na genge lakeWajinga wengi wa aina yako ni mtaji mkubwa sana wa chama tawala.