kwa nn mkuu sio mwanaccm au si mtanzania.Hili la Membe limenishangaza sana.
Ni mwana CCM na mtanzania.kwa nn mkuu sio mwanaccm au si mtanzania.
Mbona umeishia kusema tulikosea kwa Kikwete, ulitakiwa kusema na kwa Magufuli pia tulikosea, woga wa watu kama wewe ndio umetufikisha hapa mnaogopa kusema ukweli kuwa huyu wa sasa ni afadhali ya Kikwete.Miaka ya nyuma Mtu anayegombea Urais wa Tanzania alikuwa anaangaliwa kwa umakini na kupimwa kwa akili,uwezo,busara na weledi wake.
Miaka hii hali hiyo imebadilika hasa baada ya kuonekana kuwa mtu yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania ili mradi CCM imeamua.ikasababisha every tom,dick and harry kuwa na that feeling ya kuwa Rais.
Tulikosea kwa kikwete,tukaendelea na makosa hayo kiasi kwamba hayo makosa yamekuwa ni sehemu yetu ya kuchagua marais.tumefikia hatua tunadharauliana kiasi kikubwa sana na kuonana hatuna hata common sense.
Ni aibu kutaka MEMBE awe Rais wa Tanzania. ni aibu kutaka MAKAMBA awe Rais wa Tanzania. Ni dharau sana kwetu wenye utashi na akili timamu.dharau hizi zitaendelea kuna siku watu watakuja sema Bashite au Kibajaji awe Rais wa nchi hii.Matusi makubwa sana.
Sababu tu wanapata vijicent toka kwa watu hawa.unadhan mtu kama malecela anashindwa kupiga debe kuwa bashite awe rais wa nchi hii na akakosa waungaji mkono ndani ya watanzania zaidi ya mil 50?
Lakini hii ndo dharau yenyewe sasa.mtu kama membe uwezo wa kiuongoz hana alibebwa sana na bado alipwaya.Makamba hana akili ya kuwa rais...nyie kuleni pesa zao lakin msije kututukana sisi wenye akili humu JF. TUSHAONA MADHARA YA WATU WALIOBEBWA KWENYE UONGOZI HATUTAKI TENA. waliobebwa hukosa kujiamini,hutaka kuonekana wana nguvu ilhali hawana.hutaka ficha udhaifu wao kwa hali na mali.
Fikieni hatua mtuheshimu hata kidogo.matusi na dharau zenu zimefikia hatua mbaya.kuwa membe awe rais wa tanzania?makamba awe rais wa tanzania?keshokutwa mtasema nani?bashite?kibajaji?muro?
Hizo ni dharau kubwa sana kwa wananchi wa tanzania.najua njaa inaweza mfanya mtu aimbe chorus yoyote atakayopewa lakini basi usiimbe wimbo wa hata kuwatukana wazazi wako sababu ya njaa.
Mbona umeishia kusema tulikosea kwa Kikwete, ulitakiwa kusema na kwa Magufuli pia tulikosea, woga wa watu kama wewe ndio umetufikisha hapa mnaogopa kusema ukweli kuwa huyu wa sasa ni afadhali ya Kikwete.
Kwa hoja yako hii iliyokosa weredi wewe ndio ulipaswa uwe wa kwanza kutolewa jfHuna akil ww,,jf hawa watu mwenye mawazo finyu watoeni kwenye jf
Gudeme Leo unenkwaza kwel,,yaan mwanzo wa mwaka wala membe hawafai kua maraisi!Miaka ya nyuma Mtu anayegombea Urais wa Tanzania alikuwa anaangaliwa kwa umakini na kupimwa kwa akili,uwezo,busara na weledi wake.
Miaka hii hali hiyo imebadilika hasa baada ya kuonekana kuwa mtu yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania ili mradi CCM imeamua.ikasababisha every tom,dick and harry kuwa na that feeling ya kuwa Rais.
Tulikosea kwa kikwete,tukaendelea na makosa hayo kiasi kwamba hayo makosa yamekuwa ni sehemu yetu ya kuchagua marais.tumefikia hatua tunadharauliana kiasi kikubwa sana na kuonana hatuna hata common sense.
Ni aibu kutaka MEMBE awe Rais wa Tanzania. ni aibu kutaka MAKAMBA awe Rais wa Tanzania. Ni dharau sana kwetu wenye utashi na akili timamu.dharau hizi zitaendelea kuna siku watu watakuja sema Bashite au Kibajaji awe Rais wa nchi hii.Matusi makubwa sana.
Sababu tu wanapata vijicent toka kwa watu hawa.unadhan mtu kama malecela anashindwa kupiga debe kuwa bashite awe rais wa nchi hii na akakosa waungaji mkono ndani ya watanzania zaidi ya mil 50?
Lakini hii ndo dharau yenyewe sasa.mtu kama membe uwezo wa kiuongoz hana alibebwa sana na bado alipwaya.Makamba hana akili ya kuwa rais...nyie kuleni pesa zao lakin msije kututukana sisi wenye akili humu JF. TUSHAONA MADHARA YA WATU WALIOBEBWA KWENYE UONGOZI HATUTAKI TENA. waliobebwa hukosa kujiamini,hutaka kuonekana wana nguvu ilhali hawana.hutaka ficha udhaifu wao kwa hali na mali.
Fikieni hatua mtuheshimu hata kidogo.matusi na dharau zenu zimefikia hatua mbaya.kuwa membe awe rais wa tanzania?makamba awe rais wa tanzania?keshokutwa mtasema nani?bashite?kibajaji?muro?
Hizo ni dharau kubwa sana kwa wananchi wa tanzania.najua njaa inaweza mfanya mtu aimbe chorus yoyote atakayopewa lakini basi usiimbe wimbo wa hata kuwatukana wazazi wako sababu ya njaa.
Nadhani urais ni kama heart transplant surgery. Hapa hakuna kubabaisha, ni kuwa unajua kisawasawa kufanya transplant hiyo, specialist doctor wa nguvu, tena sana! . Short of that unaua mtu instantly! Nchi yetu iko hivyo amepewa medical illiterate /lay man afanye heart surgery transplant, lazima wagonjwa wote wafe!Hata jiwe kabebwa tu, hana sifa ya kuwa rais. Bora hata January kuliko hili jiwe. Linafanya mambo kipuuzi, nchi yetu inapitia kwenye wakati mgumu sana.
1. AJUE KUSOMA NA KUANDIKA.
2. AWE NA MIAKA 45 na kuendelea.
3. AWE MTANZANIA.
4. AWE NA AKILI TIMAMU, asiwe milembe.
hata huyu wa sasa alibebwa tu yaleyale..