Hii Dharau ni mwisho, Sidhani kama kuna ya juu yake

Pole mkuu ila nahisi hukua na nia mbaya wala dharau juu yake ila yeye ndo kafikilia tofauti japo imekusaidia kidogo [emoji3].
Kwangu haikuwa dharau kabsa, japokuwa kwake aliona ni pesa ndogo
 
Nimemiss Chapo madondo.
Sheng ilinifanya niipende sana Nai.

Soon ntarudi tena.
 
Kenyans hasa Nai wana dharau halafu wanatalk shit sijapata ona aiseee.

Kama unahisi kuna wabongo wanaongea shit basi wanatania.
 
Hahahah
 
Mwanamke wa kikuyu unamhonga 500 bob? Bob la mzukaaa, bob la mkamwamba , bob la mkazuzu..
 
Shida n pale ulipoagjza matumbo. Hapo ndo alipokuchukulia easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…