Hii Dharau ni mwisho, Sidhani kama kuna ya juu yake

Kuna baadhi ya nchi kutoa "Tip" ni kama lazima.... Ukiingia "restaurant" ukapata huduma kwenye ankara yako inakuja pamoja na gharama ya "Tip" kwa aliyekuhudumia, usipotoa anaweza kukujazia watu. Marekani, na Ufaransa ni kawaida.
 
Ni motisha + kikaz
 
Kenya ni nchi ya hovyo sana! Watu hawana utu wala ubinadamu! Hawaujui utu na ustaarabu! Muda wote ni fujofujo.Kiustaarabu hata kama ilikuwa ndogo alipaswa kupokea kusmile na kuendelea na shughuli zake.Sidhani kama kuna mtanzania hata awe mke wa Bakhressa anaweza kufanya hivyo!
 
Asee inasikitisha sana, na mm kuonesha kwamba naheshimu pesa nikaibeba na 500 yake
 
Sasa huduma itaanza rasmi lini Madam[emoji39] tuandikishiane mikataba ikibidi[emoji848]
Nakusikiliza wewe,afu mbona kama huduma yenyewe ndo umeiwekea kipaumbele kuliko kufanyiwa usafi Kwa room🤣🙌 wanaume hataree sana😋
 
Nakusikiliza wewe,afu mbona kama huduma yenyewe ndo umeiwekea kipaumbele kuliko kufanyiwa usafi Kwa room[emoji1787][emoji119] wanaume hataree sana[emoji39]
Sasa huduma si kufanyiwa usafi jamani, au ww unamaanisha huduma ipi?
 
[emoji1787]ndo hiyohiyo mkuu
Sawa, Sasa hivi nipo Mombo hapa napata msosi then niendelee na safari, Kesho Asubuh natakiwa kuamkia Ofisini. So nikifika utakuja basi coz Ghetto litakuwa na vumbi kishenzi
 
Poa,utaacha funguo Kwa jirani au nakukuta ndani?....niandalie na kitaulo Cha kukung'utia vumbi😉
 
Back
Top Bottom