Hii Dharau ni mwisho, Sidhani kama kuna ya juu yake

Sio kila jasho utaliweza, majasho mengine waachie akina Dimpoz..kazi kidogo pesa mlima..upo?
 
Sio kila jasho utaliweza, majasho mengine waachie akina Dimpoz..kazi kidogo pesa mlima..upo?
Labda nizeeke nitakata tamaa,yaan hapa kichwa kipo vururu hata bange nitauza.Kufa kupo tu
 
We mujinga,
Ungeongeza nyingine kama hiyo alete menyu ungepata 500 ksh nyingine jumla 1000 kshs.ungeongeza 500 ingine akakurudishia 50 na 500k tena .
Ndo unaaga,jumla 1500kshs.
Hapo ulete uzi.
 
Kutoa tip sio shobo, tembea kidogo duniani ufunguke akili
Dunia gani umetembea wewe? Kila kitu kinafanywa mahala pake ukichanganya wema sehem isipohitajika hiyo ni shobo na unatakiwa uache, nenda kaishi USA Kama unavyoishi bongo asubuhi amka ukamsalimie jirani uone ni ustaarabu au shobo
 
Maliza kwanza mkataba wako na BM X6

😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…