Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
jifunze na ni muhimu sana kujitegemea šJamaa alikua anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikua na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikua anamvuna tu.
Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi inapenda vijana wa makamo?