kosa kubwa ulilofanya ni kuwapa madrid hizo goli 3,unawapaje madrid momentum ya kupata goli la 1 on time la 2 la 3 halafu wasikupige 6...ili madrid atoke asipate goli dkk zinazoruhu kufanya comebackNsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Yaani Kuna Vichaa wanywa komoni kutoka pale Bitaraguru na Wanywa Ulanzi kutoka pale Kilolo wanapanua na kukenua Kwa bashasha wakiamini kabisa ya kwamba Arsenal (The Gunners )anakwenda kutolewa na timu ya Wazee Vijana (Real Madrid).
Huwa kila siku mkipewa ushauri wa Bure na Bujibuji Simba Nyamaume muachane na hizo pombe za kienyeji nyie mnajifanya wajuaji,hayo ndiyo madhara yake!,Ni mtu mwehu na asiyekuwa na akili timamu tu anayedhani Arsenal atatolewa na Real Madrid!
Arsenal kufungwa atafungwa hilo nakubali lakini si kutolewa,Hakuna timu ya Hispania inayo msumbua (ga) Arsenal tofauti na Barcelona siyo hao wazee waliochoka!
MATOKEO
REAL MADRID 3 - 1 ARSENAL
Arsenal 3-1 Real Madrid.Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Labda ingekuwa ni yanga au Simba vs Arsenal lakini Kwa Madrid Vs Arsenal huwezi kutumia neno 'hawezi' Kabla ya dk 90.Arsenal hawez fungwa goli 3 na madrid.
Yeye alifungaje fungaje.Watanzania wameanza ubishi wa ngomaniArsenal hawez fungwa goli 3 na madrid.
Mapema sana 😹Arsenal 3-1 Real Madrid.
Bye bye!
Utajua kwa nini madrid inaitwa VARdread, penalty za mchongo,red card ♦️HUU NDIYO UKWELI MKUU
Tu nakusubiri keshokutwaNsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Yaani Kuna Vichaa wanywa komoni kutoka pale Bitaraguru na Wanywa Ulanzi kutoka pale Kilolo wanapanua na kukenua Kwa bashasha wakiamini kabisa ya kwamba Arsenal (The Gunners )anakwenda kutolewa na timu ya Wazee Vijana (Real Madrid).
Huwa kila siku mkipewa ushauri wa Bure na Bujibuji Simba Nyamaume muachane na hizo pombe za kienyeji nyie mnajifanya wajuaji,hayo ndiyo madhara yake!,Ni mtu mwehu na asiyekuwa na akili timamu tu anayedhani Arsenal atatolewa na Real Madrid!
Arsenal kufungwa atafungwa hilo nakubali lakini si kutolewa,Hakuna timu ya Hispania inayo msumbua (ga) Arsenal tofauti na Barcelona siyo hao wazee waliochoka!
MATOKEO
REAL MADRID 3 - 1 ARSENAL
Pamoja sana mkuu.Mapema sana 😹