Hii Dunia Ina vituko sana,Kuna watu wanasema Real Madrid anamtoa Arsenal

Hii Dunia Ina vituko sana,Kuna watu wanasema Real Madrid anamtoa Arsenal

Hakuna timu mbovu kama RM msimu huu. Arsenal anapiga RM nje ndani I can bet a mortgage on that.

Nilisema yametimia. Mtu yeyote aliyedhani Madrid anapita hii draw hajui mpira.
 
Back
Top Bottom